Nina wasiwasi huenda nimeshatapeliwa

Wala usiwe na waswas ni transporter wazur tu hawana izo mambo
 
Kama shamwaa bhac hujatapeliwa ila utakua unakuja na meli.
 
Uwage unawashirikisha wazoefu sio kila Alibaba ni og wengine ni fek wa Nigeria matapeli
 
Anza na kule uliko agiza mzigo
 

Kiongozi, kama ulinunua kwa Verified seller au mwenye recommendation nzuri kwa buyer
Mzigo utafika; unachukua hadi wiki sita (wametuma kwa meli)
Wakituma kwa ndege hutumia around 2weeks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…