Nina wasiwasi huenda tusije kumpata Sergio Busquets mwingine

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Wahafidhina wa soka, tumeanza kupata wasiwasi wa kutokuja kumpata mbadala wa Sergio Busquets hasa wakati huu akimalizia soka lake kule Inter Miami.

Busquets ni moja ya viungo bora kabisa wa ukabaji pengine katika historia ya soka.

Busquets alileta mageuzi makubwa sana kwenye kiungo cha chini, namna namba 6 anavyotakiwa kuwa kiunganishi wa mabeki na eneo la kiungo kuelekea kwa washambuliaji.

Busquets ametufundisha kuwa namba 6 sio lazma uwe mtu wa kutumia nguvu kama akina Casemiro au Patrick Vieira, sio lazma upige tackling kila saa kama akina Arturo Vidal.

Busquets ametufundisha unaweza ukawa na kasi ndogo lakini bado ukawa na mchango mkubwa sana kwenye mchezo.

Busquets anajua sana kutafsiri nafasi na kuzitendea haki. Huyu ndio alikuwa “conductor” kwenye ile Barcelona ya akina Xavi na Iniesta.

Nachelea kusema, itatuchukua miaka mingi au pengine asije kutokea tena kiungo mkabaji bora sana kumzidi Sergio Busquets.

Hasta la vista
 
Alikuwa CM akiwa anacheza Daraja la tatu na Team B na akina Pedro Leone, Pep alimbadili kumvuta nyuma kidogo hivyo CM wengi wanaweza kucheza hiyo role ya Anchor Man I'll level au kuwa Sawa ndio kipengele.
 
Kabisa, Ila Ila Rodri Kama anakuja anatoka
Rodri's on fire
Your defence is terrified
Rodri's on fire
Your defence is terrified
Rodri's on fire
Your defence is terrified
Rodri's on fire
Ooo
Na-na-na-na-na, na-na, na-na-na, na-na
Na-na-na-na-na, na-na, na-na-na, na-na
Na-na-na-na-na, na-na, na-na-na, na-na
Na-na-na-na-na, na-na, na-na-na, na-na
 
Wahafidhina wa soka, tumeanza kupata wasiwasi wa kutokuja kumpata mbadala wa Sergio Busquets hasa wakati huu akimalizia soka lake kule Inter Miami.

Busquets ni moja ya viungo bora kabisa wa ukabaji pengine katika historia ya soka.

Busquets alileta mageuzi makubwa sana kwenye kiungo cha chini, namna namba 6 anavyotakiwa kuwa kiunganishi wa mabeki na eneo la kiungo kuelekea kwa washambuliaji.

Busquets ametufundisha kuwa namba 6 sio lazma uwe mtu wa kutumia nguvu kama akina Casemiro au Patrick Vieira, sio lazma upige tackling kila saa kama akina Arturo Vidal.

Busquets ametufundisha unaweza ukawa na kasi ndogo lakini bado ukawa na mchango mkubwa sana kwenye mchezo.

Busquets anajua sana kutafsiri nafasi na kuzitendea haki. Huyu ndio alikuwa “conductor” kwenye ile Barcelona ya akina Xavi na Iniesta.

Nachelea kusema, itatuchukua miaka mingi au pengine asije kutokea tena kiungo mkabaji bora sana kumzidi Sergio Busquets.

Hasta la vista
Hivi unajua kwanini nafasi ya Sergio Busquets inaitwa The Makelele Role. Nachelea kusema Busquets alicheza na mafundi Xavi na Iniesta kiungoni wakamsaidia kung'aa.
 
Makelele role sio nafasi ya Bosquet, sababu wote ni defensive midfielder haimaanishi uchezaji ni sawa. Kama Makelele angekua Barcelona ni possible kabisa aka cheza na Bosquet pamoja kama vile ambavyo Mascherano alicheza na Bosquet baadhi ya Mechi.

Mpira sasa hivi ume evolve na Defensive midfielder wanakuwa ni deep lying playmaker,
 
Tumekuwa na Defensive midfielders wengi sana na walikua wanakiwasha vizuri tu. Sema Busquets alikua soft sana....mtu laini laini kwenye nafasi ambayo tumezoea kuona agressive people the likes of Arturo Vidal, ndio maana anaonekana alikua exceptional. Lakini wa kawaida tu.
 
Makelele role sio nafasi ya Bosquet, sababu wote ni defensive midfielder haimaanishi uchezaji ni sawa. Kama Makelele angekua Barcelona ni possible kabisa aka cheza na Bosquet pamoja kama vile ambavyo Mascherano alicheza na Bosquet baadhi ya Mechi.

Mpira sasa hivi ume evolve na Defensive midfielder wanakuwa ni deep lying playmaker,
Well said
 
Back
Top Bottom