Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Rodri's on fireKabisa, Ila Ila Rodri Kama anakuja anatoka
Hivi unajua kwanini nafasi ya Sergio Busquets inaitwa The Makelele Role. Nachelea kusema Busquets alicheza na mafundi Xavi na Iniesta kiungoni wakamsaidia kung'aa.Wahafidhina wa soka, tumeanza kupata wasiwasi wa kutokuja kumpata mbadala wa Sergio Busquets hasa wakati huu akimalizia soka lake kule Inter Miami.
Busquets ni moja ya viungo bora kabisa wa ukabaji pengine katika historia ya soka.
Busquets alileta mageuzi makubwa sana kwenye kiungo cha chini, namna namba 6 anavyotakiwa kuwa kiunganishi wa mabeki na eneo la kiungo kuelekea kwa washambuliaji.
Busquets ametufundisha kuwa namba 6 sio lazma uwe mtu wa kutumia nguvu kama akina Casemiro au Patrick Vieira, sio lazma upige tackling kila saa kama akina Arturo Vidal.
Busquets ametufundisha unaweza ukawa na kasi ndogo lakini bado ukawa na mchango mkubwa sana kwenye mchezo.
Busquets anajua sana kutafsiri nafasi na kuzitendea haki. Huyu ndio alikuwa “conductor” kwenye ile Barcelona ya akina Xavi na Iniesta.
Nachelea kusema, itatuchukua miaka mingi au pengine asije kutokea tena kiungo mkabaji bora sana kumzidi Sergio Busquets.
Hasta la vista
Makelele role sio nafasi ya Bosquet, sababu wote ni defensive midfielder haimaanishi uchezaji ni sawa. Kama Makelele angekua Barcelona ni possible kabisa aka cheza na Bosquet pamoja kama vile ambavyo Mascherano alicheza na Bosquet baadhi ya Mechi.Hivi unajua kwanini nafasi ya Sergio Busquets inaitwa The Makelele Role. Nachelea kusema Busquets alicheza na mafundi Xavi na Iniesta kiungoni wakamsaidia kung'aa.
Tumekuwa na Defensive midfielders wengi sana na walikua wanakiwasha vizuri tu. Sema Busquets alikua soft sana....mtu laini laini kwenye nafasi ambayo tumezoea kuona agressive people the likes of Arturo Vidal, ndio maana anaonekana alikua exceptional. Lakini wa kawaida tu.Makelele role sio nafasi ya Bosquet, sababu wote ni defensive midfielder haimaanishi uchezaji ni sawa. Kama Makelele angekua Barcelona ni possible kabisa aka cheza na Bosquet pamoja kama vile ambavyo Mascherano alicheza na Bosquet baadhi ya Mechi.
Mpira sasa hivi ume evolve na Defensive midfielder wanakuwa ni deep lying playmaker,
Well saidMakelele role sio nafasi ya Bosquet, sababu wote ni defensive midfielder haimaanishi uchezaji ni sawa. Kama Makelele angekua Barcelona ni possible kabisa aka cheza na Bosquet pamoja kama vile ambavyo Mascherano alicheza na Bosquet baadhi ya Mechi.
Mpira sasa hivi ume evolve na Defensive midfielder wanakuwa ni deep lying playmaker,