Nina wasiwasi kama Dreamliner yetu itapata abiria wa kutosha safari za ndani na nje. Huu ni ushauri wangu kwa ATC.

Route ya kwanza tu maudhurio ndio haya

1. First class abiria 2
2. Business class abiria 5
3. Economy (kajamba nani) abiria 237

Empty seats 18......

Ndio muende nje ya nchi labda mwisho wa dunia
Actually Mkuu, hiyo ilikuwa ni rate nzuri sana, katika hali ya kawaida. Ndege inaweza kupata faida hata kwa 75% seat sale. Wasiwasi wangu ni kwamba kama hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa debe na kelele nyingi zilizopigwa, mambo yatakuwaje katika hali ya kawaida?
 
Mkuu wakiambiwa hawasikii.kweli wanaweza shindana na offer za emirates?oman air?qatar? je ni kweli wameisharudishiwa IATA member?
 
Mkuu wakiambiwa hawasikii.kweli wanaweza shindana na offer za emirates?oman air?qatar? je ni kweli wameisharudishiwa IATA member?
Mmh, Mkuu ngoja tuendelee kujenga nchi yetu na kuishi kwa imani
 
Afadhali umemkumbuka mkuu
 
Mimi nilishasema lile neno "hapa kazi tu" lisipofutwa sintokaa nipande. Bora nipande randair au kenya airways.
 
Mkuu Synthesizer, jana nimethibitisha the other way round kwa route ya Mwanza Dar Jumapili, Dreamliner ya ATC imejaa full full na hakuna nafasi mpaka kesho Jumanne, Fast Jet pia imejaa full full hakuna nafasi mpaka kesho Jumanne na Precision pia imejaa, hakuna nafasi mpaka Jumatano.
Hivyo kwa abiria wa Kanda ya Ziwa, abiria wapo.
P.
 
Mk
Mkuu Pascal nafurahi kusikia hilo. Natumaini hilo ni reflection ya maendeleo na uwezo wa Watanzania kifedha (reflection on the standard of living) na sio excitement ya muda ya kupanda Dreamliner. Inawezekana pia walifanya kile nilichogusia hapo juu,
"Sidhani kama kuna lolote tunaweza kufanya kwa safari za ndani zadi ya kushusha bei hata zaidi kama "promotional fares". Ni afadhali ushushe nauli ili upate abiiria wengi katika kile wachumi wanaita "economies of scale".

Ningependa sana shirika letu la ndege liwe na mafanikio.
 

Hata saa mbovu nayo huonyesha muda sahihi angalau mara mbili kwa siku. Definitely kuna siku ndege itajaa.
 
Swafiiii sana
Lakini mwenzio bado ataleta kujua na kuendelea kuponda! Duh haki ya Mola wangu walahi
 
Dreamliner linachanja anga za mbali huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…