Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Wapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu,
Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana, nilifanya nae sex siku ya 14 baada ya siku zake, aliingia period tarehe 24 tukasex Tarehe 7, kiukweli aliniambia kwamba yuko kwenye siku ya hatari kwahiyo tutumie mpira ila hatukutumia.
Tulipomaliza alikaa masaa 23 baada ya sex akanywa dawa ya kukinga mimba maana hakuwa tayari kubeba mimba. Alitumia dawa imeandikwa LEVORGESTREL-RICHTER 0.75mg. Alimeza kidonge kimoja tu.
Je inaweza kuzuia mimba?
Nisaidieni hapo jamani.