Nina wasiwasi kama mpenzi wangu atakuwa amepata ujauzito

Nina wasiwasi kama mpenzi wangu atakuwa amepata ujauzito

kwa hesabu hii 24- 28 siku za period
29-3 free days, 4-10 siku za hatari na nyie mkaliamsha dude peku. lolote laweza tokea jiandae
 
Masaa 23 hapana kama mlitumia dawa hawezi kushika ujauzito kwa sababu sperms hukaa ndani ya mwili wa mwanamke zikiwa active kwa siku 3 baada ya hapo zinaharibika na kuwa useful,thats why daawa zote za kuzuia ujauzito zinashauriwa kutumika masaa 78.

Sijajua hiyo dawa,since I'm not a doct. Kama mmetumia right dose yuko safe,lakini kama mna wasiwasi basi zikipita siku14 toka mmfanye tendo tumieni upt kuchek Kama mimba tayari au yuko safe.

Nb:kama hamtaki mtoto kwa sasa tumieni condom au someni calendar msiendekeze kutiana tiana kila siku mnakoseshana amani na kupena stress tu.
Nimeelewa..Alitumia kidonge kimoja tu..ila walishauri kama yuko kwenye hatari sana atumie kwa siku3..
 
Wapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu,

Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana, nilifanya nae sex siku ya 14 baada ya siku zake, aliingia period tarehe 24 tukasex Tarehe 7, kiukweli aliniambia kwamba yuko kwenye siku ya hatari kwahiyo tutumie mpira ila hatukutumia.

Tulipomaliza alikaa masaa 23 baada ya sex akanywa dawa ya kukinga mimba maana hakuwa tayari kubeba mimba. Alitumia dawa imeandikwa LEVORGESTREL-RICHTER 0.75mg. Alimeza kidonge kimoja tu.

Je inaweza kuzuia mimba?

Nisaidieni hapo jamani.
Km alikula dawa bac ipite tu rehema ya Mungu ndani ya masaa 72 baada ya sex unakula dawa cjui alizomeza yeye ni masaa mangap nazijua P2
 
Back
Top Bottom