Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Wapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu!!
Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana,,nilifanya nae sex siku ya 14baada ya siku zake,,Aliingia PERIOD tarehe 24 tukasex Tarehe 7,,kiukweli alinambia kwamba yuko kwenye siku ya hatari kwahiyo tutumie mpira ila hatukutumia,tulipomaliza alikaa masaa 23 baada ya sex AKANYWA dawa ya KUKINGA mimba maana hakuwa tayari kubeba mimba..Alitumia dawa imeandikwa LEVORGESTREL-RICHTER 0.75mg..Alimeza kidonge kimoja tu..Je..Inaweza kuzuia mimba??.. Nisaidieni hapo jamani..
Nimekuelewa ila jaribu kunijibu basi.Wakati mnafanya ulikuwa hujui kama kuna mimba?
Wanafunzi bwana
Wala hakuna lawama,ila nataka nijue tu.ALIKWAMBIA MTUMIE, ILA HAKUTUMIA, NAONA DALILI YA KUMPA LAWAMA YEYE, INGAWA YEYE ALIWEKA CLEARLY. HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUKUPA JIBU SAHIHI, SINGEKUNYWA DAWA KABISA, ANAWEZA KUPATA AU ASIPATE...... MIMBA NI JAMBO JEMA PIA, LEENI MTTOTO AKIZALIWA.
Masaa 23 mengi sanaa..!! Hapo uwezekano wa kupata mimba upoo.. so usimlaumu sanaa jipangee sana..Wapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu!!
Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana,,nilifanya nae sex siku ya 14baada ya siku zake,,Aliingia PERIOD tarehe 24 tukasex Tarehe 7,,kiukweli alinambia kwamba yuko kwenye siku ya hatari kwahiyo tutumie mpira ila hatukutumia,tulipomaliza alikaa masaa 23 baada ya sex AKANYWA dawa ya KUKINGA mimba maana hakuwa tayari kubeba mimba..Alitumia dawa imeandikwa LEVORGESTREL-RICHTER 0.75mg..Alimeza kidonge kimoja tu..Je..Inaweza kuzuia mimba??.. Nisaidieni hapo jamani..
Nimekuelewa broo!.wala simlaumu..nilikuwa na shauku tu yakutaka kuelewa..Masaa 23 mengi sanaa..!! Hapo uwezekano wa kupata mimba upoo.. so usimlaumu sanaa jipangee sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuuh!!..sawa.Mcwe na wasiwasi Subiri mpk mwaka kesho miez km ya 8 au 9 hv muende mkapime mjue moja
Wala hakuna lawama,ila nataka nijue tu.
Siyo mwanafunzi,Duuh!!!sawa,,acha tuone.Huyo bint ni Darasa langapi au kidato cha ngapi?kama sio hongera sana jiandae kumpokea baby boy
Alikunywa yeye,mimi alinipa taarifa tu baadae..Baadaye mtoto akizaliwa akiwa na mtindio wa ubongo unaanza kumlaumu Mungu kumbe chanzo ni wewe mwenyewe kujaribu kutoa...aisee pole sana...wenzio wanatafuta watoto wewe unawatoa kwa madawa
Hio dawa ipoje mkuu niitafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... usijali hatapata relax banaWapendwa wana JF kabla ya yote poleni na majukumu,
Nina wasiwasi kidogo kama mpenzi wangu atakuwa amenasa mimba au hapana, nilifanya nae sex siku ya 14 baada ya siku zake, aliingia period tarehe 24 tukasex Tarehe 7, kiukweli aliniambia kwamba yuko kwenye siku ya hatari kwahiyo tutumie mpira ila hatukutumia.
Tulipomaliza alikaa masaa 23 baada ya sex akanywa dawa ya kukinga mimba maana hakuwa tayari kubeba mimba. Alitumia dawa imeandikwa LEVORGESTREL-RICHTER 0.75mg. Alimeza kidonge kimoja tu.
Je inaweza kuzuia mimba?
Nisaidieni hapo jamani.