Nina wasiwasi kama mpenzi wangu atakuwa amepata ujauzito

kwa hesabu hii 24- 28 siku za period
29-3 free days, 4-10 siku za hatari na nyie mkaliamsha dude peku. lolote laweza tokea jiandae
 
Nimeelewa..Alitumia kidonge kimoja tu..ila walishauri kama yuko kwenye hatari sana atumie kwa siku3..
 
Km alikula dawa bac ipite tu rehema ya Mungu ndani ya masaa 72 baada ya sex unakula dawa cjui alizomeza yeye ni masaa mangap nazijua P2
 
Najua jibu unalotaka kusikia ni, hawezi kupata mimba...

Lakini kwa humu jamii forum sijui..


cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…