Nina wasiwasi lakini sifahamu sababu

boss msaada wangu kwako ni kukwambia kuwa hofu husababishwa na kutokuwa na kutojiamini ambayo hiyo hali inasbabishwa na kutojua jambo kwa undani au nini unataka na sababu nyengine ni kushindwa kutambua uwezo wako.
 
1. Try therapy. ...

2.Ask your doctor
about medications.

3. Do a daily or
routine meditation.

4. Keep a journal.
Socialize.

5 Staying active..

6 Diet and supplements.
 
Nimewahi kupitia hiyo hali , ila sasa namna nilivyoitibu hata mimi sielewi yule doctor alikuwa anawaza nini ila ikatokea kweli ikawa ndio tiba.

Doctor aliniambia ni allergy. Nilimshangaa ila Akaniambia allergy inaweza kukuvuruga hadi usijielewe. Akaniandikia dawa nikaanza kutumia nikawa sawa kabisa.
 
Huwa napitia hali kama hiyo mara nyingi. Inaondoka yenyewe
 
Hii ni kawaida ni sawa na ku feel bad about something that you should not feel bad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…