Nina wasiwasi lakini sifahamu sababu

Nina wasiwasi lakini sifahamu sababu

🤣🤣Je Kama Hana madeni?
Haiwezekani. Kuna vitu haviwezi kuja bila sababu. Ili uwe na wasiwasi,lazima pawe na jambo la kukupa hiyo hali.

Na mara nyingi ni madeni. Huwezi kuwa na madeni alafu ukawa na furaha.
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Back
Top Bottom