Nina wasiwasi na elimu za wana JF

Tunajua bana au unataka kusema tukiomba kujiunga na jf tuambatanishe na vyeti vyetu?
 
You who has started topic you think you to know english language is mean education, education is a key of life not inglish language, you want people to donate post in english? Why not our international language kiswahili?

Hahahah...walah umeua
 

We nae bana nani kakwambia ki-english ndio usomi? Elimu chio kiingereza ni lugha tu kama kiswahili chema wengi walitawaliwa na waingereza ndio chababu ki-english kinatumika sehemu nyingi ie international language of busineso. Wacha ngebe ebo! Kuhusu vyuo mbona vina ranking worldwide .. ... ... ..
 
Kiswangli no problem, changanya zote tu lugha ingekuwa ttizo hina na japani isingekuwepo kwenye ramani ya dunia.
 
Hehehe wabongo tuko na excuse tunapokuwa hatujui kitu, kwani vyuo vya bongo wanafundisha kwa kiswahili... Hehehe wengine twapenda kuongea lugha ya malkia sema ndo vile haipandi kabisa... Me mwenyewe naipenda sema huwa nazuga kwamba napenda kiswahili kuliko hata lugha ya mama
 
ni sheeeeeeeeeeeeedaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

linguistic minority families must learn the language of the society in order to assimilated into the English-speaking world of the school and society.JF wengi wemekimbia shule
 

wewe unabif na Shardcole nini?
 
Last edited by a moderator:
Kupitia tafiti mbalimbali zilizofanyika hapa Tanzania kuhusu uwezo wa Watanzania kukimudu Kiingereza nikimanisha kusoma,kusikiliza,kuandika na kuongea ni 5% tu ya Watanzania wanaokimudu. 95% iliyobaki hatufui dafu. Ni ushahidi tosha kwmb Kiingereza ni janga.

Na suala la Watanzania hata km tungewekeza rasilimali zetu zote ktk kujifunza Kiingereza mambo mengine tusiyapigie bajeti bado hata miaka mia bado tusingefanikiwa kwa kiwango tunachokitarajia. Kutumia Kiingereza km lugha ya kufundishia toka Secondary mpk Chuo kikuu ni dhahiri kuwa huyu mwanafunz ambae angefika chuo basi anatarajiwa kuwa vzr kwny lugha lakini mambo huwa ni kinyume kbs. Tatizo ni nini hasa?

Tunapokosea ni kwmb tunadhan kukitumia as medium of instruction ndo tutakiweza. Lkn kumbe tungeanza kwa kujifunza kwanza sheria na kanuni ya lugha ya Kiingereza km somo alaf badae ndo tukitumie. Km ambavyo kwny Kisw mtoto wa darasa la kwanza anaanza na (a e i o u) badae anaendelea
 
mie nalv kweli kuspeak kienglish bt i dont know why nafeli,plz give me the method wich i can use to sacseed.
 

mwehu si lazima avue nguo wengine wanavaa nguo na wewe upo humohumo
 
You who has started topic you think you to know english language is mean education, education is a key of life not inglish language, you want people to donate post in english? Why not our international language kiswahili?

Mkuu Lukansola habari yako!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu unatamani uone wana JF wakichangia vema mada zilizoanzishwa kwa lugha ya kiingereza, na umeonyesha wasiwasi Wako kuwa labda wengi hawana elimu. Nadhani wewe PIA unaangukia humohumo. Nilidhani Una uwezo basi hata WA kuanzisha Uzi kwa lugha ya kiingereza ili tuone namna gani hawa wana JF "wasivyokuwa na elimu". Lakini naona nawe umetiriirika mulemule.
 

ok tuweke debate: kiingereza is better than kiswahili.discuss am the c/p .
 
Jamani Lugha cyo kipimo cha elimu,kama umesoma na kuelewa jibu kiswahili,hapa tunaangalia mawasiliano tu,me nilipenda kutumia kingereza sababu bado najifunza na naamini kina msaada sana kwangu,kama ni kingereza changia kama ni kwa kiswahili changia,lugha cyo sababu mtu ashindwe kuchangia,kwa ambao hawakuelewa kabisa TUSAMEHEANE TU
 

Usedcountrynewpipo wewe binafsi hujaelimika (sorry to say this)
Kwani lugha pekee ndio inayomfanya mtu awe na elimu nzuri?
Je kwako mada ikiwekwa huwa una i-rate vipi?
To me, the highest rank shall be in terms of how many viewers, the thread receives, how many viewers comment on the thread, and how long does the thread itself remains active?
language here is not an instrument.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…