kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kika siku ahsubuhi peleka moto wa kibabe kisha muache aende sensa.Za saizi waheshimiwa
Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa.sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara,kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana.nikamhoji wife jamaa ni nani akajibu ni karani mwenzie wa sensa.sikutaka kuhoji sana hilo.
Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.
Nifanyaje wakuu?
Jiamini mzee,,,,, Ukweli siku zote huwa upo wazi,,haujifichi....hakikisha kile cha Asubuhi umekikoleza ipasavyo,,,,inaweza punguza makali kidogo japo haimalizi...Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.
1.Makarani huwa wanaingia hadi ndani kwa wanaowahesabu kama watakaribishwa.Za saizi waheshimiwa
Wife ni mwalimu wa primary, amepata kazi ya kuwa karani wa sensa. Sasa toka zoezi lianze naona kuna jamaa wanawasiliana mara kwa mara, kwenye simu nimeona amemsave Peter sensa.
Leo asubuhi nimeona jamaa amemtext wife eti tukutane pale pa jana, nikamhoji wife jamaa ni nani akajibu ni karani mwenzie wa sensa sikutaka kuhoji sana hilo.
Ila kwa kweli nina wasiwasi huenda nagongewa.
Nifanyaje wakuu?
Halafu kama wangekuwa hawakulani jamaa kue angejua mtoto ka fall na angekula sasaUngejibu hiyo sms SAWA MPENZI USISAHAU CONDOM,hapo ungejua wanakulana au hawakulani