Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Umewaza kama mimiNikiwa Kama Expert, Mkeo Keshaliwa .
Mimi Sijui kwann , mnakuaga waoga matokeo yake mnabaki kuumia weee moyon na Kufa kimyakimya
Mkeo Keshaliwa na Peter.
Nisikilize nikwambie, Walianza mafunzo Yao Semina Kwa muda wa wiki kama tatu hivi ,hiii yote Peter na Mkeo wakawa na ukaribu .
Kwa muda huo wote, ni wazi wameshakulana.
Huwezi mtumia meseji Mke wa mtu "Tukutane pale pa jana" !! .
HahahaUngejibu hiyo sms SAWA MPENZI USISAHAU CONDOM,hapo ungejua wanakulana au hawakulani
Aisee yani wewe ni mimi kwa sabb mwanamke n mzaifu sana kujielezeaYaaani hakuna kiumbe dhaifu kumfuatilia na kumgundua nyendo zake kama mwanamke yaani haihijiki uwajir CIA ama FBI kumchunguza ni ww mwenyewe tu unamgunda kwa mda mdog sana