Nina wasiwasi na hii Gari, ushauri wenu

mzee katika vitu vya kuwa navyo makini kwenye kuvichokonoa basi ni hydroulic ya gear box kwani ukiikosea tu jua upo kwenye hati hati ya kwenda kununua mpya
 
Mkuu kama unaweza kusubiri mpka upate hela ya kutosha kuagiza bora ufanye hivyo, gari za mkononi nyingi majanga na kama ndo gari ya kwanza kumiliki kushikishwa kimeo ni rahisi sana.
Inategemea mkuu mimi niliinunua Toyota Corolla Kwa milioni 7 huu ni mwaka wa sita kazi yangu ni kubadili oil, tairi, shock up etc... Napiga nayo ruti za Dar - Sumbawanga, Dar - Kigoma kama kawa. Engine bomba kabisa yaani...
 
[emoji120][emoji120][emoji106][emoji106]
 
Ila umejifunza funza mambo sahizi
 

Usisikilize ushauri wa mafundi waongo sana, pata mafundi from recommendation ya watu unaowaamini
 
Daaaah pole sanaaa kiongoz gariii umenunua kwa mtu au umeagiza maana ukwel humweka mtu huru pia kama umeagiza service ya engine oil ulibadilii baada ya muda gan pia gearbox oil ungebadili baada ya service hata 2 au 3 sa engine oil maana ile gearbox inakuja na gar ni standard kuliko hizo Rubex t4 walizokuwekea kingine nn imetokea baada hiyo service
 
Hata jamaa walisema hvo oil ya gearbox sio lazma kubadilisha, ila baada ya kuchek ikaonekana ni chafu sana akashauri nimwage inaweza leta shida ila tuliweka og kutoka toyota, gari nilipeleka garage inayoeleweka sio za chin ya mti. Tokq nimebadili naona mabadiliko kwenye gari inachanganya fasta sana tofauti na before.
Oil ya gearbox inatakiwa ibadilishwe ndani ya muda gani?
 
Jana nilikua mataa ya Morocco sasa nikaona mtu kashuka kwenye gari chap akainama chini kuzunguka gari akarudi ndani, kuangalia namba ya gari nikaona DXE nikajua jamaa anawenge la gari mpya[emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jana nilikua mataa ya Morocco sasa nikaona mtu kashuka kwenye gari chap akainama chini kuzunguka gari akarudi ndani, kuangalia namba ya gari nikaona DXE nikajua jamaa anawenge la gari mpya[emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oil ya gearbox vema kuibadili ukigonga km90000-100000.
 
Mkuu kama hutojali naomba kufahamu kama ni sawa kuweka hii oil kwenye Toyota IST, mwaka 2004, cc1300, 2NZ NCP60
Fundi anadai hiyo 5w-30 ni kwa nchi zenye baridi ila kwa bongo hiyo pichani ndio inafaa.
Cc: RRONDO Extrovert deedee
 
Mkuu kama hutojali naomba kufahamu kama ni sawa kuweka hii oil kwenye 2NZ IST NCP60View attachment 2015980
Fundi anadai hiyo 5w-30 ni kwa nchi zenye baridi ila kwa bongo hiyo pichani ndio inafaa.
Cc: RRONDO Extrovert deedee
Hapana hii sio oil sahihi kwa hio engine , hawa mafundi wa chini ya mwembe watatumaliza.
Recommended oil ni 5w- 30 kwa hio engine
 
Bagamoyo road ndo daily niko na hii road, naweza kufika hadi speed 100 na gari imetulia nimefanya wheel balance & alignement hta nifike 100 rpm haizd 2 nataka niende mkoani hapa nais ndo nitaisoma vzr zaid.
Okay basi hakuna shida na kwa maelezo yako hapo it means unatumia overdrive. Na ukitazama hapo kwenye dashboard hiyo taa ya overdrive itakuwa ipo Off.
 
Haujakosea kubadili ila gear box hydraulic inakaa muda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…