Nina wasiwasi na hii Gari, ushauri wenu

Nina wasiwasi na hii Gari, ushauri wenu

Hapana hii sio oil sahihi kwa hio engine , hawa mafundi wa chini ya mwembe watatumaliza.
Recommended oil ni 5w- 30 kwa hio engine
Asante sana. Kwa hiyo hiyo hoja kwamba sehemu yenye joto oil ya 5w-30 haifai ni kwamba fundi aliitereza katika maarifa
 
Ni IST ya mwaka 2004, cc1300 mkuu
Mzabue kofi kwanza huyo fundi. Hiyo oil sio ya hiyo gari. Halafu kuhusu temperature Tanzania especially Dar hatuvukagi wastani wa 32°c kwenye joto kwa mwaka.

Hiyo oil anayokupatia ni ya kuweka kwenye madaladala huko. Na kwa gari ndogo ni labda mataifa kama Saudi Arabia ambayo huwa joto la wastani ni above 40°C kwa mwaka.

So kama umeweka service ijayo usirudie tena. Weka tu ya 5W-30.
 
Shukrani sana kaka. Itabidi iwe hivyo.
 
Naomba kukuuliza swali kabla ya kujua nicomment nn hasa ulipokuwa watumia oil ya kwanza kitu gan uliona changamoto hadi uhamie ktk oil ya pili?

swali langu jingne kpi kilikupelekea badiri gearbox oil kulikuwa na changamoto gan hadi uchange gear box oil?

ulifrush engine sawa haina shida je aliweza funga components zote ktk standard ile ile? nikupata muongozo hapo naweza pata cha kuongea zaidi
Swali la maana sana hili... Hapo kwenye gear box oil hapo
 
Hapana hii sio oil sahihi kwa hio engine , hawa mafundi wa chini ya mwembe watatumaliza.
Recommended oil ni 5w- 30 kwa hio engine
Mafundi wa chini ya mti huwa wanafanya kazi zao kwenye maduka ya spare za magari. Kwa hiyo kama duka analofanyia kazi halina oil 5w-30 bali ipo hiyo isiyofaa lazima atamwambia mteja kuwa iliyopo pale dukani ndiyo inayofaa. Ovyo kabisa hawa vijana.
 
Mkuu kama unaweza kusubiri mpka upate hela ya kutosha kuagiza bora ufanye hivyo, gari za mkononi nyingi majanga na kama ndo gari ya kwanza kumiliki kushikishwa kimeo ni rahisi sana.
I concur with you. Niliwahi kununua gari mkononi kwa 2.1m Ila ndani ya miezi 6 nilitumia Tena 6.5m kuiweka sawa (ikiwemo kubadili injini)..baadae na mm nikamuuzia jamaa wa mkoani. Hope atakua ksahalipakibcoz hata namba ya Simu nilimpa ya call centre
 
Back
Top Bottom