Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Hiyo oil unaweka katika gari gani sasa ndugu maana haujasema Gari?!Mkuu kama hutojali naomba kufahamu kama ni sawa kuweka hii oil kwenye 2NZ IST NCP60View attachment 2015980
Fundi anadai hiyo 5w-30 ni kwa nchi zenye baridi ila kwa bongo hiyo pichani ndio inafaa.
Cc: RRONDO Extrovert deedee