Nina wasiwasi na mke wangu...

Akisharudi mwambie avue nguo zote, achuchumae then mnusishe ugolo. Atapiga chafya na manii zitamvuja UKENI, hapo utajua kama kachepuka au lah.

Aiseee amekwisha labda asilud home
 
Hapo ushaambiwa anaumwa vidonda vya tumbo means akifika hakupi mzigo ili usijue kama "IMECHAKATWA",pili kwani huna ndugu zake wa singida ukawapigia kujua kama yupo huko na kuna shida gani?
 
Aha ha ava pole. DODOMA wameshafanya yao
 

Napiga chini nitakupa mrejesho mkuu
 

Hapana nimke wangu kabsa nimemuoa
 
Akifika tu, Piga mzigo...yaani lazima ugundue kitu.
 

Nikweli mkuu upo sahihi
 
Akijaa umepanga kumfanya nini? Assume umekosea na limepita unachotaka kukijua kinaweza ghalimu maisha ya mmoja wenu. Umeshasema una hasira na hasira iko karibu sana na ukichaa.

Kiukweli namuomba mungu anipe nguvu na imani kubwa sana lakini acha tu ngoja kwanza alud
 
Nakushauri acha lipite usifuate ushauri unaopewa ila next time kuwa makini na ufanye mambo kama mwanaume na mume

Duuh tena mkuu kwanini kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…