Nina wasiwasi na mke wangu...

Kwa upande wangu ,Nimekuona wewe ni Mjinga.....

Amini Kwa 100% kagongwa tena two times.....

Yaaani mke umemuoa wewe,unamlisha na kumtunza wewe na Mahari umetoa alafu ndugu wanampigia yeye wanamuhitaji badala ya kukupigia wewe ....[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]hii mpya
 
Mkuu mwenye makosa ni wewe, inakuaje dada mtu anapiga smu kwa mkeo na kumpangia safari.? Kwanini usipigiwe wewe mwanaume ili utoe ruksa?

Hiiiiihiii (kwa sauti ya anko) hapo jamaa umetombewa
 
Piga chini
 
Usioe,usioe tena usioe ili kuhepukana na Mambo Kama haya. Ona Sasa Mimi nimekaa kwa amani kabisa ila huyu bwana muda huu anateseka.
Aiseee embu acha kutukatisha tamaa me nampango wa kuoa mwakani
 
wanawake walioajiriwa ni hatari sana

heri uingie gharama umfungulie biashara
Na biashara yenyewe ni hapo nje ya nyumbani na umemzalisha watoto wanamzunguka hapo... Dunia imekua ya hatari sana dhidi ya hawa watu
 
Huna chako hapo.
 
Ukiishi kwa hisia katika ndoa yako utazeeka mapema! Katika ndoa ni kuaminiana tu,na kutarajia yote!
Maadamu ulimruhusu akaenda uwe mpole tu usije kusababisha maafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…