Nina wasiwasi na mke wangu...

Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Mkuu huko ni mbali sana kuitwa bila kupewa sababu, yani leo ndugu yako yuko mkoa aseme njoo haraka ukija nitakuambia sababu ya kukuita we unaweza kwenda?? Haiingii hata akilini upoteze nauli bila kujua why unaenda[emoji3] mkeo genius.
 
Sawa mkuu lakini nitajua tu coz najua pakumkamatia shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…