Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Akirudi afanye haya?;Anyway hata hajaenda yuko mjini buza kafungiwa good night.
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudi afanye haya?;Anyway hata hajaenda yuko mjini buza kafungiwa good night.
Mkuu huko ni mbali sana kuitwa bila kupewa sababu, yani leo ndugu yako yuko mkoa aseme njoo haraka ukija nitakuambia sababu ya kukuita we unaweza kwenda?? Haiingii hata akilini upoteze nauli bila kujua why unaenda[emoji3] mkeo genius.Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Mkuu huu ushauri wakibabe usingetoa utatuongezea stress.Wee subiria style mupya mupya alizojifunza huko dodoma
Mkuu huko ni mbali sana kuitwa bila kupewa sababu, yani leo ndugu yako yuko mkoa aseme njoo haraka ukija nitakuambia sababu ya kukuita we unaweza kwenda?? Haiingii hata akilini upoteze nauli bila kujua why unaenda[emoji3] mkeo genius.