feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma ,Kuna Mahali nimefikia nikaanza kutetemekaz mapigo yamoyo yakienda Kasi, as if Mimi ni wewe
Nianze Kwa kuuliza, yaan ni Mkeo umeona Kwa mahari ????
Bwanaaee, tufanye hujatoa mahari, mwanamke ukishanvuta kwako, ni anawajibika KUTII MAMLAKA YAKO KWA UNYENYEKEVU ULOTUKUKA.
Niseme tu kwamba !!!!
Wewe ni aina ya Wanaume wenye "Ubabybaby".
Kwa mantiki hiyo, Mkeo ameshakuona weee ni mwepesi kiasi kwamba anao uwezo wa Kutumia Uongo wa Daraja la 1 akijua pia bado atakuwin.
Najua utanibishia hapa ili unionyeshe wee ni Mwamba, ungekua Mwamba "Usingeruhusu Mkeo kuzuga simu za dada ,Sijui singida, yaaan Madada mtu wakuondolee mwanamke wako nyumban ? " Kupiga soga !!
Sisi wengine, Ndugu wa Mke wakipiga piga simu , hata yeye anawajibu "Mmmhhh Sijui kama ataniruhusu Mamaaa".
Mlowengi mnaweza msinielewe, na kauli za "Mke anajilinda mwenyewe"..
Ukweli nikwamba Kwa habari ya MKE Ndani ya Ndoa, MWANAUME UNATAKIWA UWE MKOLONI KWELIKWELI KIASI KWAMBA MKEO AJUE WEWE NDIO MUME MWENYE
👉MAMLAKA JUU YAKE
👉 KIONGOZI WAKE
👉MTAWALA WAKE
kiasi kwamba hatokaa hata siku Moja kutumia Uongo wa Daraja la kwanza.
Ndugu yangu, Kutombewa umetombewa, HILI LIKO WAZI , walakini kwenye Kutombewa huko, Wewe umechangia asilimia karibia 40%, zilizobaki yaan 60, ni hizi Sasa za Wanawake wetu wakizazi hiki Cha Leo !!
Mwisho, Haya akikujibu 'Nisameheee nisamehee ,ni kweli nimeliwa ".......... Utafanya nini???
Maana yangu ni kwamba, Kuna wakati mwanadam unalazimika kufanya hatua za kuzuia uangamivu , sio kuacha uangamivu utokee, alafu madhara yake, ukuangamizs hata wewe !!
POLE KWA KUGONGEWA , KINACHOUMA, NI KUDANGANYWAA, ALAFU ANAFUNGA SAFARI KUPELEKA PAPUCHI ILI
Daah,pole kwa jamaa..Nimesoma ,Kuna Mahali nimefikia nikaanza kutetemekaz mapigo yamoyo yakienda Kasi, as if Mimi ni wewe
Nianze Kwa kuuliza, yaan ni Mkeo umeona Kwa mahari ????
Bwanaaee, tufanye hujatoa mahari, mwanamke ukishanvuta kwako, ni anawajibika KUTII MAMLAKA YAKO KWA UNYENYEKEVU ULOTUKUKA.
Niseme tu kwamba !!!!
Wewe ni aina ya Wanaume wenye "Ubabybaby".
Kwa mantiki hiyo, Mkeo ameshakuona weee ni mwepesi kiasi kwamba anao uwezo wa Kutumia Uongo wa Daraja la 1 akijua pia bado atakuwin.
Najua utanibishia hapa ili unionyeshe wee ni Mwamba, ungekua Mwamba "Usingeruhusu Mkeo kuzuga simu za dada ,Sijui singida, yaaan Madada mtu wakuondolee mwanamke wako nyumban ? " Kupiga soga !!
Sisi wengine, Ndugu wa Mke wakipiga piga simu , hata yeye anawajibu "Mmmhhh Sijui kama ataniruhusu Mamaaa".
Mlowengi mnaweza msinielewe, na kauli za "Mke anajilinda mwenyewe"..
Ukweli nikwamba Kwa habari ya MKE Ndani ya Ndoa, MWANAUME UNATAKIWA UWE MKOLONI KWELIKWELI KIASI KWAMBA MKEO AJUE WEWE NDIO MUME MWENYE
👉MAMLAKA JUU YAKE
👉 KIONGOZI WAKE
👉MTAWALA WAKE
kiasi kwamba hatokaa hata siku Moja kutumia Uongo wa Daraja la kwanza.
Ndugu yangu, Kutombewa umetombewa, HILI LIKO WAZI , walakini kwenye Kutombewa huko, Wewe umechangia asilimia karibia 40%, zilizobaki yaan 60, ni hizi Sasa za Wanawake wetu wakizazi hiki Cha Leo !!
Mwisho, Haya akikujibu 'Nisameheee nisamehee ,ni kweli nimeliwa ".......... Utafanya nini???
Maana yangu ni kwamba, Kuna wakati mwanadam unalazimika kufanya hatua za kuzuia uangamivu , sio kuacha uangamivu utokee, alafu madhara yake, ukuangamizs hata wewe !!
POLE KWA KUGONGEWA , KINACHOUMA, NI KUDANGANYWAA, ALAFU ANAFUNGA SAFARI KUPELEKA PAPUCHI ILIWE.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au awe anakumbuka kusuuza vyombo vikitumikaAchana nae usimuulize kitu ila mtumie sms kuwa "uwe unakumbuka kutumia kondomu"
Sheria zibadilishwe walio jela waruhusiwe kukutana na wenza wao wapate mbususu hata kwa mwezi mara moja.Jela itakuuma zaidi. Na mbususu hutazipata
Mwenza yupi utakuwa naye kwa muda huo? Si ulishamtenda that's why umeenda jela?🤣🤣🤣Sheria zibadilishwe walio jela waruhusiwe kukutana na wenza wao wapate mbususu hata kwa mwezi mara moja.
Ndomaana namuombaga Mungu aniepushe na huko.Mwenza yupi utakuwa naye kwa muda huo? Si ulishamtenda that's why umeenda jela?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You will suffer my friend
Kama hapo hukuelewa ni haki yake kuchepukaSijakuelewa mkuu
Umeona mbali sanaWee subiria style mupya mupya alizojifunza huko Dodoma.
Hahahahaa duhWee subiria style mupya mupya alizojifunza huko Dodoma.
Sasa atapataje watoto hahahaaaaTumia kondom mkuu
Wee subiria style mupya mupya alizojifunza huko Dodoma.
Kuku ashaliwa yamebaki manyoya,ata deal nae Vipi?.Inaonekana huu ni ugonjwa ulioulea mwenyewe na ndio unakutafuna sasa. Mkeo anakuaga usiku kuwa anasafari asubuhi na we unamuitikia tu? Hahaa! Safari ya siku kadhaa nje ya mkoa na it's okay with you? Unajua kinachiendelew huko Dom na inauma sana but kwa mtazamo wangu, Deal with it.