Nina wasiwasi na mke wangu...

Umekosea sana wewe ndo kichwa cha familia iweje mke akurupuliwe kama ngedere na wewe ukubali au huyo mke kakuoa wewe.
Simama kama mwanaume mzee usichukulie mambo kama mvulana safari yoyote mwanamke inatakiwa akuombe ruksa mwezi au week mbili kabla,usichukulie vitu kama hivyo kirahisi.
Kama kuna tatizo kwao inatakiwa wazazi wake wakuombe wewe umruhusu wewe maana yupo chini ya himaya yako.
Mwisho nasikitika kwa kutosimamia ndoa yako vizuri kwa kuwa na misimamo dhaifu.
 
Sawa mkuu lakini nitajua tu coz najua pakumkamatia shukrani mkuu
Mi naamini hakuna kibaya coz angetaka kuliwa angeliwa bila hata kukupa hizo sababu ambazo hata mtoto anashtuka ila jiwekee negative thinking coz itakufanya ukubaliane na ukweli hata kama unauma when things changes, if Possible Mwambie akuelezee shida iliyompeleka coz wewe ni mumewe why usijue..akipata kigugumizi itabidi ukubali mojaxmoja pia jitahid ujue Why Dodoma?
 

Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
 

Asantee mkuu shukrani sana mungu akubariki kwa ushauri wako nitafanyia kazi
 
Dodoma inasingiziwa sana siku hizi... Pole mkuu... Pambana tu na hali. Kumbuka huyo ni mkeo na wewe ndo kichwa wa nyumba, wewe ndo wa kutoa miongozo.
 
Nakumbuka askari mmoja wa kike aliwahi kusema "hamna mwanamke wa peke yako siku hizi, ukimfuatilia mke au mpenzi wakojiandae tu, kujiletea msongo wa mawazo"

Nikweli lakini kwa mke ningumu kuikubali hiyo statement lakini pia na ndomana huwa sipend kumfatilia wife sababu najua ipo siku tu mambo yatakuwa sio mambo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…