Nina wasiwasi na mke wangu...

Usionyeshe Kama unawasiwasi wowote na yeye Tena mwambie pole na safari .Kisha unanyakuwa simu yake mapema unasepa nayo kutwa nzima Ila usiwe tuu mtu wa jàzba Wana codes zao vile ukienda job wanaanza mawasiliani

Yeah nikweli mkuu nitafanya hivyo tupo pamoja kiongoz
 
Hivi kumbe na nyie wanaume waga mnaumia mkichitiwa[emoji3][emoji3]...kuchapiwa ni siri ya ndani......sema uyo wife wako anazingua wake hatunaga akili fupi hivo bwana ametutia aibu.....mimi sioni wakunifanya nisafiri kipumbavu hivyo niache mme wangu.....
 
Asa na wewe mwanaume gani unatia aibu wanaume wenzio ....mwanamke anakuagaje kijinga hivyo na wewe unakubari hivi ....uyo mkeo ni mjinga mbona hakuheshimu kiasi hicho
 
Nikweli mkuu naamini nitajua tu
Unalala kwa raha akija unamadai pole unamuhudumia basi .
Mie nimewahi ishi na mtu ila ndoa hatukufunga alikuwa ananificha ufisadi wake akadai yupo busy safari za hapa napale weh .

Siku za kufa kwa nyani miti yote huteleza nikambamba walahi nilizimia.

Fisadi la mapenzi nikalikamata kwisha
 
Nimesoma ,Kuna Mahali nimefikia nikaanza kutetemekaz mapigo yamoyo yakienda Kasi, as if Mimi ni wewe


Nianze Kwa kuuliza, yaan ni Mkeo umeona Kwa mahari ????

Bwanaaee, tufanye hujatoa mahari, mwanamke ukishanvuta kwako, ni anawajibika KUTII MAMLAKA YAKO KWA UNYENYEKEVU ULOTUKUKA.


Niseme tu kwamba !!!!

Wewe ni aina ya Wanaume wenye "Ubabybaby".

Kwa mantiki hiyo, Mkeo ameshakuona weee ni mwepesi kiasi kwamba anao uwezo wa Kutumia Uongo wa Daraja la 1 akijua pia bado atakuwin.


Najua utanibishia hapa ili unionyeshe wee ni Mwamba, ungekua Mwamba "Usingeruhusu Mkeo kuzuga simu za dada ,Sijui singida, yaaan Madada mtu wakuondolee mwanamke wako nyumban ? " Kupiga soga !!


Sisi wengine, Ndugu wa Mke wakipiga piga simu , hata yeye anawajibu "Mmmhhh Sijui kama ataniruhusu Mamaaa".

Mlowengi mnaweza msinielewe, na kauli za "Mke anajilinda mwenyewe"..

Ukweli nikwamba Kwa habari ya MKE Ndani ya Ndoa, MWANAUME UNATAKIWA UWE MKOLONI KWELIKWELI KIASI KWAMBA MKEO AJUE WEWE NDIO MUME MWENYE
👉MAMLAKA JUU YAKE
👉 KIONGOZI WAKE
👉MTAWALA WAKE


kiasi kwamba hatokaa hata siku Moja kutumia Uongo wa Daraja la kwanza.


Ndugu yangu, Kutombewa umetombewa, HILI LIKO WAZI , walakini kwenye Kutombewa huko, Wewe umechangia asilimia karibia 40%, zilizobaki yaan 60, ni hizi Sasa za Wanawake wetu wakizazi hiki Cha Leo !!


Mwisho, Haya akikujibu 'Nisameheee nisamehee ,ni kweli nimeliwa ".......... Utafanya nini???

Maana yangu ni kwamba, Kuna wakati mwanadam unalazimika kufanya hatua za kuzuia uangamivu , sio kuacha uangamivu utokee, alafu madhara yake, ukuangamizs hata wewe !!


POLE KWA KUGONGEWA , KINACHOUMA, NI KUDANGANYWAA, ALAFU ANAFUNGA SAFARI KUPELEKA PAPUCHI ILIWE.
 
Asa na wewe mwanaume gani unatia aibu wanaume wenzio ....mwanamke anakuagaje kijinga hivyo na wewe unakubari hivi ....uyo mkeo ni mjinga mbona hakuheshimu kiasi hicho

Nikweli nimekosea nahsi labda kwa kuto mtilia maanani na hiyo safari lakini najua maovu hayafichiki nitajua tu madam
 

Daah poleee sana mkuu
 
Ni ishu serious ,sana, itifaki haikuzingatiwa unajua dodoma kwa jinsi napafahamu ,mtu ashuke halafu upande Tena gari ya singida? Two times?,gari huwa hazipatikani kirahisi muda ukienda sana;muulize alipanda gari gani?na huyo mtu aliyeenda nae Ni Nani ?Vinginevyo mpe yellow card,wasi wasi ndio akili ndugu yangu halafu hawa madada wanafichiana Siri na uozo wa kila namna Kama mkeo anajambo lolote la dharura la kuhusu familia yake hakuna ukakasi wowote wa kukuficha,Tena Jambo linalohitaji yeye mpaka awepo Ni kubwa ati
 

Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani umenifundisha kitu kikubwa sana
 
Sawa sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani sana ntafanya hivyo najua atajaa tu wacha nijifanye niko good hakuna tatizo lolote kama ulivosema
Kweli mkuu ila pole sana maana limekupa stress hili jambo Mungu atakuonyesha yaliyojificha kama yapo.
 
Ashaliwa huyo. Pia wewe ni mwanaume mzembe, na ataendelea kuliwa badi achoke
 

Nikweli mkuu nitamuuliza na kumfatilia kwakina kama anafanya ushenz nitajua tu njia ya muongo ni fupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…