Nina wasiwasi na mke wangu...


Nikweli mkuu kwenye hili nakili nilikosea sana kumuachia aende nasjui kwanini lakini kupita hili pia nimegundua kitu na najua nitajua zaidi mautumbo yake mkuu
 
Hawa viumbe hawanaga fadhila hata,kwenye visemina na kwenye visafari naenda kusalimia na sherehe ndio wanafumuliwa sana ,hata Xmas na iddi
 
Jinsi inavyoonekana mke wako anakumudu na huna sauti kwake,
Yaani mke wako anasafiri bila ruhusa yako ?
Kama ndugu zake wanashida naye inatakiwa wakujulishe wewe , huyo yupo chini yako mkuu na wewe ndio utoe ruhusa .
Kwa hiyo umeshindwa hata kuwapigia hao ndugu zake kujua kuna nini , kisa hutaki kumfatilia aisee
Kwel wewe ni mwanaume dhaifu
 
Nahisi huyo alomfata huko ni x wake maana ma x wengine wana nguvu sana za kimamlaka. Nakuambia hivyo maana nimejionea hadi kuna muda nasema kuna watu wameoa wake za watu.

Anhaa sasa nimeanza kugundua something mkuu kunakitu kama ndo umenishtua now okay ngoja ainashida subili
 
Hayupo mbali, inawezekana yupo ndani ya km 50 na baharia wanakamuana; maamuzi unayo wewe, kumpa talaka au kuvumiliana; chonde chonde, usipate jazba ukatumia kitu kizito au chenye ncha kali kumuangamiza.

Dunia bado inakuhitaji; kama hutaki shari, ni vizuri akija kaa kimya na mtengane vyumba au kitanda; fanya hivyo kwa mwezi mzima, ataomba msamaha mwenyewe na atakuambia alivyokuwa akipelekewa moto.​
 
Mimi
Usisahau kuleta mrejesho mkuu baada ya kumuuliza maswali

Ushauri wangu piga simu kwa ndugu zake hao wa Singida kujua kulikuwa na shida gani nadhani hapo ndo utagundua point ya msingi kabisa.
Atakuwa amewapanga,labda hapa tujue kuwa wazazi wake wapo wapi?
 

Sawa mkuu nimekuelewa shukrani
 

Sawa mkuu nimekuelewa sana shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…