Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mnatumia Avatar moja MkuuHapana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnatumia Avatar moja MkuuHapana mkuu
Kuwa mnafiki ndio mtaenda sawa,mwanamke ukijifanya unamjali sana anakusumbua sana ,Ila Kama huna time nae yeye ndio aumize kichwaDaah hawa viumbe sio kabsa mkuu
Na wewe uko zamu ya kulinda?Sjui hata umewaza nini mkuu nimejikuta tu nimecheka japo siko sawa
Mkuu, samahani kwa kukupa ukweli ufuatao.
Huyo mkeo unamlea vibaya ama umekuwa ukimlea vibaya. Ndani ya nyumba mwanaume ndiye kichwa, mkeo lazima asikie kauli yako na wala si kauli ya ndugu zake. Ndugu zake wakimtaka kwa jambo lolote, ni lazima wapitie kwako na ujiridhishe kwanza. Kama una kitu hukielewi, unaweza kabisa kukataza safari kama hizo.
Mkeo anakuaga usiku kwamba kesho asubuhi anasafiri?, na wewe unakubali kirahisi namna hivyo?, something wrong somewhere ndugu yangu. Hao ndugu zake pia naona wana mamlaka ndani ya nyumba yako. Kwangu thubutuu.
Hawa viumbe hawanaga fadhila hata,kwenye visemina na kwenye visafari naenda kusalimia na sherehe ndio wanafumuliwa sana ,hata Xmas na iddiUki
Kuna mpaka Mama wakwe wa Hawa Wanawake zetu, ni Ovyoooo sana
Unakuta Mtoto, anampanga Mama yake.. Ukipiga simu "Hello Mama, Mke wangu amefika??...utasikia eeehh mwanangu , nashukuru Kwa kuruhusu .
Sembuse Madada, Madada hawahawa ??
Niliwah tembea na wadada watatu wa mji Mmoja ,tumbo mojaaa , Baba Mmoja, Mama Mmoja... Tena sio Kwa kificho baali wenyewe Mmoja baada ya Mmoja walikua wanajileta.
Sembuse kufichiana Siri???
Jamaa akitegemea simu za Madada zake, hatopata kitu .maana Dwmu keshwapanga Madada zakeee, mpaka mama yake
Naaaaa... UKIONA DEMU KAWAPANGA DADA ZAKE /NDUGU ILI AKAONANE NA BWANAKE.....UNUE HUYO BWANA NI AMA NI MKUNAJI WAKE WA SIKU ZOTE AMBAYE DADA ZAKE WALIMJUA AU NI BWANA MPYA.
Jinsi inavyoonekana mke wako anakumudu na huna sauti kwake,Habar wana JF
Naimani mko wazima
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife sjui Kwanini lakini nisafar ambayo siielew kabsa wakuu nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Nikwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabsa kwasabubu kwanza nisafari ya kushtukiza lakini pia mbaka now sielew aimed ya safari ni nini mbaka now.
Alhamisi nimelud kutoka kazini usiku tunalala ndo ananipa taarifa ya kuwa kesho ijumaa anasafiri nikamuuliza unaenda wap? akaniambia kapigiwa Sim na dadazake wamemuita ambao wanakaa singida nikamuuliza kunatatizo akasema hapana ila sijui wanashidagani na mimi ndo wamenipigia cm niende Kiukweli nilikuwa nimechoka nahtaji kupumzika sikutaka ku complicate kitu nikamjibu sawa nikalala then asubuh nikajiandaa nikaenda kazini vizur.
Niko Job ananipigia Cm kuwa ndo anatoka home anaelekea stend kupanda Bus ilikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu hayaa na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa bas nikakata Cm lakini kiukweli ghafra akiliyangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea.
Baadaya kupita kama lisaa akantumia message kuwa amepata bus but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote daah sikutaka pia ku doubt wala mambomengi nikamjibu sawa nikaachana nae nikaendelea na kazi zangu but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma By saa 2 ndo ananiambia ndo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo.
Bas mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana badae by saa 7 mchana ananiambia ndo anataka kurud leo nikamuuliza mbona hukuniambia asubuh na kwanini usingeondoka asubh sijaona cha maana anachonijibu bas nikamwambia hayaa kama unarud leo tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia cm ananiambia kuwa yupo stend mala gari sjui hakuna mala zimejaa mala nimechoka naskia usingizi nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuh akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message et amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siobule coz kwenda kashuka Dodoma kurud baada alud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarud kesho mapema na sizan kama kweli alikosa usafiri by dat time ananiambia kuwa kapata usafiri ila unaishia Dodoma so ataenda kulala dom sikutaka ku complicate nika mjibu sawa bhas nikaachana nae.
Ila chaajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa yaan ndo anantumia text sahii saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika heheheh nacheka ila najua mwenyew wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizur kuhusu hii safar yake japokuwa mimi sio mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabsa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonne happen wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana uwanja ni wenu
Nahisi huyo alomfata huko ni x wake maana ma x wengine wana nguvu sana za kimamlaka. Nakuambia hivyo maana nimejionea hadi kuna muda nasema kuna watu wameoa wake za watu.
MimiUki
Kuna mpaka Mama wakwe wa Hawa Wanawake zetu, ni Ovyoooo sana
Unakuta Mtoto, anampanga Mama yake.. Ukipiga simu "Hello Mama, Mke wangu amefika??...utasikia eeehh mwanangu , nashukuru Kwa kuruhusu .
Sembuse Madada, Madada hawahawa ??
Niliwah tembea na wadada watatu wa mji Mmoja ,tumbo mojaaa , Baba Mmoja, Mama Mmoja... Tena sio Kwa kificho baali wenyewe Mmoja baada ya Mmoja walikua wanajileta.
Sembuse kufichiana Siri???
Jamaa akitegemea simu za Madada zake, hatopata kitu .maana Dwmu keshwapanga Madada zakeee, mpaka mama yake
Naaaaa... UKIONA DEMU KAWAPANGA DADA ZAKE /NDUGU ILI AKAONANE NA BWANAKE.....UNUE HUYO BWANA NI AMA NI MKUNAJI WAKE WA SIKU ZOTE AMBAYE DADA ZAKE WALIMJUA AU NI BWANA MPYA.
Atakuwa amewapanga,labda hapa tujue kuwa wazazi wake wapo wapi?Usisahau kuleta mrejesho mkuu baada ya kumuuliza maswali
Ushauri wangu piga simu kwa ndugu zake hao wa Singida kujua kulikuwa na shida gani nadhani hapo ndo utagundua point ya msingi kabisa.
Jinsi inavyoonekana mke wako anakumudu na huna sauti kwake,
Yaani mke wako anasafiri bila ruhusa yako ?
Kama ndugu zake wanashida naye inatakiwa wakujulishe wewe , huyo yupo chini yako mkuu na wewe ndio utoe ruhusa .
Kwa hiyo umeshindwa hata kuwapigia hao ndugu zake kujua kuna nini , kisa hutaki kumfatilia aisee
Kwel wewe ni mwanaume dhaifu
Hayupo mbali, inawezekana yupo ndani ya km 50 na baharia wanakamuana; maamuzi unayo wewe, kumpa talaka au kuvumiliana; chonde chonde, usipate jazba ukatumia kitu kizito au chenye ncha kali kumuangamiza.
Dunia bado inakuhitaji; kama hutaki shari, ni vizuri akija kaa kimya na mtengane vyumba au kitanda; fanya hivyo kwa mwezi mzima, ataomba msamaha mwenyewe na atakuambia alivyokuwa akipelekewa moto.
Chunguza mkuu ukute ulivamia kambi ya mtu kwa bahati mbayaAnhaa sasa nimeanza kugundua something mkuu kunakitu kama ndo umenishtua now okay ngoja ainashida subili