Somebody’s Son
Member
- May 22, 2013
- 94
- 207
Wasiwasi Ndio akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu usitumie nguvu tumia akili kutatua tatizo na kutengeneza jambo zuriNgoja nichunguze nitajua tu mkuu nitaleta mlejesho
Mtoa mada fuata ushauri huuHapo akifika kwanza dai ticket si chini ya nne
Ndio maswali mengine yaendelee.
Ngoja nichunguze nitajua tu mkuu nitaleta mlejesho
Hao mama wakwe ndio nuksi kabisa ,Wazazi wake wapo mkuu ila naamini mama mkwe atashangaa sana
Usiwe na jaziba sana ,Kuna mke wa mtu alinisumbua sana nimle mbusu mbusu nikagoma Tena mwenzake akawa anasema wapi imendikwa me mke wa mtu huku akigeuza kalioWazazi wake wapo mkuu ila naamini mama mkwe atashangaa sana
Uzi ufutwe baada ya kufata ushauri huumkuu kwanza nakuomba muulize haya mswali kisha naomba feedback akikujibu usisahau.
1: muombe tiketi zote alizo panda kwenda huko kuja na kuondoka angalia na mda alio safiri kama ni kweli au laaaaaa
2: wakati unaongea nae omba namba za dada yake mmoja au wawili wapigie kwa kutumia number yako waulize maswali ya trick kujua kama kweli alifika au laaaa
3: kama ikiwezekana na omba hiyo number ya ndugu yake alie kutana nae dodoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au akifika apitishe siku moja tu then siku inayo fuata achukue simu atajua kila kitu wazi wazi kabisaMimi
Atakuwa amewapanga,labda hapa tujue kuwa wazazi wake wapo wapi?
Chochote atachoomba kati ya hivyo atarajie ugomvi mkubwa 😅😅😅! Hio ni benchmark tu. Likitokea gomvi ajue tu mkewe ameliwa taari.Akirudi afanye haya?;
1. Omba simu yake kwa kushtukiza
2. Apewe tiketi
Vinginevyo akague hilo beseni down akikuta limetepeta baasi
Hakutoka hata DSM huenda alisogezwa maeneo ya Bagamoyo tu. Hizo story za Dodoma hazi tally. La kama alifika Dom basi walienda na private ila aliishia Dom.Hapo akifika kwanza dai ticket si chini ya nne
Ndio maswali mengine yaendelee.
😁😁😁😁Hivyo kudai tiketi itakuwa gomvi kubwa na sababu ni ile ile,,, "Ina maana huniamini au?" kama huyo mke asipotumia hii point katika kubisha kwake uniite mi mbwa nimekaa zangu juu ya bed now.
Nunua gunia mbili za mkaa akifika tu home piga kiberitiHabar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.
Akirudi usimgegede miezi mitatu baadae pima Mimba.Habar wana JF,