Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hata akifika yeye mwanaume ndio ataomba msamaha.
Kazidiwa akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akifika yeye mwanaume ndio ataomba msamaha.
ulishindwa kuwapigia hao mashemeji ili uwaulize kama kweli wanakikao huko nyumbani?Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Mimi nilishawahi kumshauri kitu jamaa yangu Fulani kuhusu nyumba ndogo yake si akaenda kunisemea, tangu siku hiyo nimekoma kiranga komo.Kazidiwa akili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nilishawahi kumshauri kitu jamaa yangu Fulani kuhusu nyumba ndogo yake si akaenda kunisemea, tangu siku hiyo nimekoma kiranga komo.
Hili neno kuntuKama unampenda sana, na huwezi kumuacha; usiangaike kumuuliza chochote, wewe akija mpelekee moto maisha yaendelee.
Kwa sababu, itakuwa haina maana ya kumuhoji, huku ukiwa hauna uwezo wa kufanya maamuzi magumu itakuwa sawa na kupiga kelele tu.
Pole braza, sorry km nitakukosea.. una uboya fulan hiv ndanj yako, mwanamke kulalamika ndo umougope? Be a man. Ukiamua umeamua, kaza unachapiwa.. na demu wako ashajua wew ni weak.Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Mimi nilishawahi kumshauri kitu jamaa yangu Fulani kuhusu nyumba ndogo yake si akaenda kunisemea, tangu siku hiyo nimekoma kiranga komo.
Mbona tayari? Aliniambia anataka kuoa Mke wa Pili nikamwambia unatafuta stroke.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majitu ya namna hiyo huwa yanaumbuka mwishoni
Nimechelewa kutoa ushauri sijui jamaa kashaua uko hajaleta mrejeshoWee subiria style mupya mupya alizojifunza huko dodoma
Aku siwezi kwanza nyie mnatania watuNipe mimi huo upendo
Dawa ni kumnusisha ugoro tu mbinu ya wahengaakirudi mkague kwa :
1. kumpigisha kichura, kama kagongwa kavu na jamaa kamwaga ndani basi semen zitatoka
2. kumcheki K kwa michubuko , kama jamaa alikamia
3. kumcheki tundu ya nyuma kama kabang iko sawa
Kama hakupendi ni kazi bure tuHuyo mwanamke anakuogopa sana mkuu, msamehe tu, Katumia nguvu nyingi kuweka mazingira ya kutopata kesi yoyote kumbe ndo kajisukia kesi kwa kusema nalala Dom.
Cha Kufanya Ningekua mimi.
Kwa vile ni mke wangu na sijapanga kumuacha bado.
Nitanunua bangi za kutosha, nitatafuta na misosi ya kuamshia dude vizuri.
Nitaichakata Papuchi yake kutwa mala nne na kuoga itakua mala nne kwa siku, kwa siku 3 au 4 hivi Mfululizo.
Sharti ni moja hakuna kusema nimechoka, na atajuta kwenda Dodoma[emoji2][emoji2]
Maumivu ya kutombewaaa acha kabisa mwanawane. Mandelea mwenyewe alisamehe wadhungu waliomtia jela ila winnie alivyogegedwa tuu jamaa hakuweza vumiliaNimechelewa kutoa ushauri sijui jamaa kashaua uko hajaleta mrejesho
Ukweli mchungu mke katombwa
Ila uyo mke sio malaya inawezekana akawa hapigwi sana nje ya ndoa kwa mwanamke anaetombwa sana nje ya ndoa asingekupa izo sababu za kiboyo masaa mawili ni mengi sana kwa mwanamke mchepukaji uyo alieenda hadi dodoma kufata hogo uyo sio malaya kabisa we msamehe tu potezea maisha yaendelee kwasabu alimtomba ni X wake
Mchepukaji mzoefu huwezi mpeleka dodoma kindezi ivo uyo katulia kuwa na amani wamepasha kipolo tu na nnaamini kabisa hukumkuta bikra mnyaturu wa watu[emoji16]
Hii inafanya kazi kweli
Daa hii ndoa yako itakua ya kikristo tuu ndio hua mnapata tabu sana na wake zenu kiasi hiki hivi Mimi dada wa mke wangu anamajukumu gani ya kumuita mke wangu pasipo kunitaarifu Mimi mwenye Mme achana na dada hata baba yake mzazi au mama yake lazima aniombe kwanza na Nina hiyari ya kukubali au kukataaHabar wana JF,
Naimani mko wazima.
Kiukweli nimekuwa na wasiwasi na safari ya wife, sijui kwanini lakini ni safari ambayo siielewi kabsa wakuu. Nina mashaka nayo coz naona mapicha picha tu.
Ni kwamba wife kasafiri juzi ijumaa kuelekea Singida lakini safari yake sielewi elewi kabisa, kwasabubu kwanza ni safari ya kushtukiza lakini pia mpaka now sielewi aim ya safari ni nini mpaka now.
Alhamisi amerudi kutoka kazini usiku tunalala ndiyo ananipa taarifa ya kuwa kesho Ijumaa anasafiri, nikamuuliza unaenda wap? Akaniambia kapigiwa simu na dada zake wamemuita ambao wanakaa Singida. Nikamuuliza kunatatizo akasema hapana, ila sijui wanashida gani na mimi ndiyo wamenipigia simu niende.
Kiukweli nilikuwa nimechoka nahitaji kupumzika, sikutaka ku complicate kitu, nikamjibu sawa nikalala. Then asubuhi nikajiandaa nikaenda kazini vizur. Niko job ananipigia simu kuwa ndiyo anatoka home anaelekea stendi kupanda bus. Iikuwa almost kama saa 7 hivi mchana nikamjibu haya na nikamuuliza kama kunakitu chochote anahtaji akasema hapana yuko powa.
Basi nikakata simu lakini kiukweli ghafla akili yangu ilishikwa na wasiwasi juu ya safari yake but sikutaka ku doubt anything nikapotezea. Baadaya kupita kama lisaa akanitumia message kuwa amepata basi but akifika Dodoma atashuka kuna ndugu yake anamchuka then wanaenda wote.
Daah, sikutaka pia ku doubt wala mambo mengi nikamjibu sawa, nikaachana naye nikaendelea na kazi zangu, but bado sikuona sababu ya yeye kushuka Dodoma. By saa 2 ndiyo ananiambia ndiyo wanaondoka Dodoma nikamjibu sawa safari njema tukaacha hivyo. Basi mi nikarud home usiku kwakuwa nilishapita somewhere nikapata chakula nikafika home niko good, nikaoga nikaingia kwa bed nikampigia ananiambia kashafika ila kachoka na safari nikamuacha nikapumzika.
Sasa leo Jpili tumeongea asubuh vizur tu na tukaagana baadae by saa 7 mchana ananiambia ndiyo anataka kurudi leo. Nikamuuliza mbona hukuniambia asubuhi na kwanini usingeondoka asubuhi? Sijaona cha maana anachonijibu, basi nikamwambia haya kama unarudi leo. Tuakaacha baada ya kama nusu saa ananipigia simu ananiambia kuwa yupo stendi, mara gari sijui hakuna, mara zimejaa, mara nimechoka nasikia usingizi, nikamwambia sasa siungebaki ili uondoke kesho asubuhi akasema sawa tukaacha.
Baadae ananitumia message eti amepata gari ila linaishia Dodoma kwaiyo atashuka Dodoma. Aloo nikasema kimoyomoyo hapo Dodoma hapo siyo bure, coz kwenda kashuka Dodoma kurudi baada arud kesho kama kweli kakosa usafiri na tumekubalina anarudi kesho mapema na sidhani kama kweli alikosa usafiri by that time ananiambia kuwa kapata usafiri.
Ila unaishia Dodoma so ataenda kulala Dom, sikutaka ku complicate nikamjibu sawa basi nikaachana nae. Ila cha ajabu baada ya hapo akawa kimya hakusema kama kafika au laa. Yaani ndo ananitumia text saa hii, saa 5 usiku kuwa alifika salama ila alishindwa kuniambia coz vidonda vya tumbo vilimshika akafikia kupumzika. Heheheh nacheka ila najua mwenyewe wakuu but sijamjibu na sitamjibu lakini namsubiri arudi kesho nikitoka kazini anieleze vizuri kuhusu hii safar yake.
Japokuwa mimi siyo mtu wa kumchunguza mwanamke na sipendi kabisa kuchunguza mtu sababu naelewa what’s gonna happen.
Wakuu kama kuna la kuniongezea karibuni sana, uwanja ni wenu.