Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
harakati zinaendelea vyema, hekaheka za hapa na pale , hatulali, Tangu Juzi tupo himahima, nimesoma mawazo ya wachangiaji humu, nashukuru kwa ushauri wenu.Wakuu wa huko Nyamagana ebu tupeni habari hata kama ni mbaya najua kuna tatizo kidogo hapaJF ,habari mbaya haziletwi kabisa !
Wadau mpaka sasa sioni mfumo wala harakati za nguvu za Wenje kujihakikishia ushindi hapa Nyamagana. Naanza kupata wasi wasi kama atashinda ingawa Masha hapa Nyamagana hatakiwi kabisa.
Huyo wenje ndie nani hasa?
Huyo wenje ndie nani hasa?