Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Sasa naomba kukwambia kwamba kusoma ni pamoja na kuwa mstaarabu na kuweza kujua baya na zuri. Sasa tofauti ya msomi na ambae ni mbumbumbu itaonekana wakati gani?Kuwa msomi hakuondoi tabia za asili za binadamu kama kusahau, kughadhabika, kusinzia n.k na kuwa tabia hizo haina maana kwamba elimu yako haina maana. Kilichotokea Bungeni kwa AG na KAFULILA ni havihusiani kabisa na taaluma zao, ni tabia za asili za mwanadamu kama kukasirika n,k. Kudharau taaluma ya mtu kwa sababu tu ya kutamka neno fulani inaonesha ni jinsi gani tulivyo weupe kwenye vichwa vyetu.
Kuwa msomi hakuondoi tabia za asili za binadamu kama kusahau, kughadhabika, kusinzia n.k na kuwa tabia hizo haina maana kwamba elimu yako haina maana. Kilichotokea Bungeni kwa AG na KAFULILA ni havihusiani kabisa na taaluma zao, ni tabia za asili za mwanadamu kama kukasirika n,k. Kudharau taaluma ya mtu kwa sababu tu ya kutamka neno fulani inaonesha ni jinsi gani tulivyo weupe kwenye vichwa vyetu.
kuwa msomi hakuondoi tabia za asili za binadamu kama kusahau, kughadhabika, kusinzia n.k na kuwa tabia hizo haina maana kwamba elimu yako haina maana. Kilichotokea bungeni kwa ag na kafulila ni havihusiani kabisa na taaluma zao, ni tabia za asili za mwanadamu kama kukasirika n,k. Kudharau taaluma ya mtu kwa sababu tu ya kutamka neno fulani inaonesha ni jinsi gani tulivyo weupe kwenye vichwa vyetu.
hii mada haina mashiko. Ni swa na kusema mtu akilewa pombe hawezi kurudia hali yake pombe ikiisha. Ag kukasirika na kutoa maneno makali kwa kafulila sidhani kama ndiyo tafsiri ya kila jambo analolifanya.
Huwezi kukasirika kwa jambo lisilikuhusu.Hiyo issue inamhusu ndio maana anatapikaHii mada haina mashiko. Ni swa na kusema mtu akilewa pombe hawezi kurudia hali yake pombe ikiisha. AG kukasirika na kutoa maneno makali Kwa KAFULILA sidhani kama ndiyo tafsiri ya kila jambo analolifanya.
Hii mada haina mashiko. Ni swa na kusema mtu akilewa pombe hawezi kurudia hali yake pombe ikiisha. AG kukasirika na kutoa maneno makali Kwa KAFULILA sidhani kama ndiyo tafsiri ya kila jambo analolifanya.
Naona wewe ndio Werema mwenyewe umekuja kivingine. Sasa naomba kukwambia kwamba kusoma ni pamoja na kuwa mstaarabu na kuweza kujua baya na zuri. Sasa tofauti ya msomi na ambae ni mbumbumbu itaonekana wakati gani?