Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

Ungeandika kiswahili au kingereza ingependeza sana
 
heading ya kiswahili ila content ujinga mtupu, hicho kizungu chako feki ulichoandika utadhani ulitulipia ada ww!
 
Na ww usitutishe na chambuzi zako za kingreza...
Pambana na timu yako huko...
Kuna timu Simba inaigopa? Kuna timu ina financial mascles kuliko Alhly? Mbona huwa inachapwa..
Hizi mechi sio kuchapwa ni kutoka mara zote Simba ndio inatolewa na hao waarabu..
 
Club bingwa mara nyngi ni mbinu tu ndug sio gharaza za kikosi na wachezaji,, watu wanavukaga wakati wapo hovyo sana ila mbinu thabiti, anyway hao tutawapakia basi tu huku mashabiki wakitushangilia mpaka tupite kwa lazma hahaha.
 
with investment ya 1.35 million usd + ,
 
Yani
Hivi hua hamuoni aibu kua kwa msimu huo nyie ndio timu pekee iliyo ongoza kundi na ikaishia robo fainali?
Kwani nyie mlikua mnaona aibu kutokuingia club bingwa kwa miaka 25?.tutoleee upupu hapa..yani mtu uliekuwa una manga manga kuingia club bingwa kwa miaka zaidi ya kenda leo unashangaa mtu aliekua anaishia robo fainali mfululizo...Kweli wenye akili ni 2...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…