Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

mna hicho kikosi sasa hivi.

experience players ni hussein, baba ester, kibu na mzalimu, wengine wote ni 1 season experience tena with a better squad. not this mid table team simba has now.
Kwahyo hao wachezaji wote ambao Simba imewasajili hawana experience ya kucheza michezo ya CAF si ndio? Kwahyo timu walizotoka hawajawahi kushiriki...mbona hueweki unataka nini...
 
Hivi hua hamuoni aibu kua kwa msimu huo nyie ndio timu pekee iliyo ongoza kundi na ikaishia robo fainali?
Hiyo nayo ni aibu? Au ndio maana huwa hamtaki kuongoza kundi kwa makusudi ili msione aibu mkitolewa mwakarobo?
 
Yani

Kwani nyie mlikua mnaona aibu kutokuingia club bingwa kwa miaka 25?.tutoleee upupu hapa..yani mtu uliekuwa una manga manga kuingia club bingwa kwa miaka zaidi ya kenda leo unashangaa mtu aliekua anaishia robo fainali mfululizo...Kweli wenye akili ni 2...
Mbumbumbu za asubuh
 
Sasa inafaida gani kuongoza kundi then unaishia pale pale pa siku zote
Faida ni kupata tiketi ya kucheza AFRICAN FOOTBALL LEAGUE ambapo hela ya maandalizi tu ilikuwa sh. 5.9B
Bila kuishia robo fainali mfululizo tungekuwa kama utopolo
 
Raja na hao(Al Hilal Tripoli)unawataja nani mwenye mashabiki, uwezo kipesa, miundo mbinu etc

Ukinitajia nani zaidi? Msimu Raja wanashiriki kombe gani kimataifa?
 
Unakuwaga na vichwa vya habari vizuri Ila ukishaanza kingereza basi uwa nasonya nafunga uzi nafuata mwingine .
Kayumba ni shule wanetu waende jamani
 
mna hicho kikosi sasa hivi.

experience players ni hussein, baba ester, kibu na mzalimu, wengine wote ni 1 season experience tena with a better squad. not this mid table team simba has now.
1 Mousa Camara 4 CAFCL qfl, 1 Smfl.
2. Che Malone Fondoh 2 CFCL apps, 1 Qfl, 4 CHAN apps.
3. Mohamed Hussein, Manula, Ally Katoro, Kapombe,Mzamiru, 4 CAFCL qfl
1CAFCC Qfl
4. Ngoma 8 CAFCL qfl 1CAFCC trophy.
5. Okejepha 2 CAFCC Qfl.
6. Nouma AFCON, CAFCC
 
cafcc players are what it's
keeping azam fc down,
quality in cafcc has really fallen out,
not the same since the rules change.
 
Back
Top Bottom