Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kwahyo hao wachezaji wote ambao Simba imewasajili hawana experience ya kucheza michezo ya CAF si ndio? Kwahyo timu walizotoka hawajawahi kushiriki...mbona hueweki unataka nini...mna hicho kikosi sasa hivi.
experience players ni hussein, baba ester, kibu na mzalimu, wengine wote ni 1 season experience tena with a better squad. not this mid table team simba has now.