Nina wasiwasi Simba SC anaweza asifuzu hatua ya Makundi kwenye Kombe la Shirikisho mwaka huu

kama kweli vilee!!!
ila watakwambia tunatengeneza timu...
 
We jamaaa bana yaan Simba asumbuliwe na timu iliyopata shida kuifunga uhamiajiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ngoja tuone labda ukiitabiri mabaya Simba labda unaweza kuwin mkeka, maana kule kwa Yanga kila chambua mwisho wa siku anaangukia pua na kuonekana ni mchambaji badala ya mchambuzi
 
Simba timu kubwa sana . Ni wasiwasi Ila watapita
 
Simba ikitoboa kwa hii timu ngumu ya Al Ahly Tripoli nahama kwetu Buza Mpalanger kwenye makelele ya vigodoro mwanzo mwisho naenda kuishi Masaki kwa kishua, jioni nakula upepo mwanana wa Indian Ocean! Kwani nani asiependa raha!!
 
Kagoma na Magoma wanakusalimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…