jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
Kweli kabisa yaani utasikia ooh watu wakapime afya sijui katembea na wanawake hamsini ana kera kweli huyu sijui kwann hapati ban.Unatuchosha aisee tafuta bas la msing kuongea sawa mkuu, Kama umaarufu sio kwa style hyo.
usichoke mkuu matatizo hayan mwenyeweUnatuchosha aisee tafuta bas la msing kuongea sawa mkuu, Kama umaarufu sio kwa style hyo.
punguza roho mbaya mkuuKweli kabisa yaani utasikia ooh watu wakapime afya sijui katembea na wanawake hamsini ana kera kweli huyu sijui kwann hapati ban.
Upate ban tu,tupumzike na upuuzi wako huu kaongee na watoto wako.punguza roho mbaya mkuu
ukimwi sina mkuu nibahati yanguYea vizuri kwa kuwa na watoto wengi
nafikiri Ukimwi pia lazima uwe nao.!
hakuna upuuzi usio na maana mkuu kasome falsafaUpate ban tu,tupumzike na upuuzi wako huu kaongee na watoto wako.
una uhusiano na HR666wadau nishaurini nifanyaje mpaka sasa nina watoto 30 watano wapo nchi za nje na mama zao huko uk nlipoenda likizo,kumi nliwapata 1999 wakati nikiwa dereva wamalori.na hawa 15 walobaki watano wapo nigeria,watatu kenya,wawili uganda.na kumi wengine hapa jijini dar.mimi nina mika 29.tatizo nataka kuoa mwezi wa12 nashindwa jinsi ya kumwambia wife siri hii ambae tayari nishamvisha pete.nishaurin mana watt wanataka kuja kunitembelea arusha napokaa.
Hili ndio la msingi maana mbegu tunazo kila mpangilio wake lazima tuuangalieUnalipa ada za watoto 30?
au ku type na bando la chuo ndo unazua chochote?
nawalipia kumi,wengine mama zao wanahela sana huwa nawajulia hali tu watoto na kuwaonaUnalipa ada za watoto 30?
au ku type na bando la chuo ndo unazua chochote?
nina ac maalum crdb kwajili yao na inapesa kiasi cha kutosha nasomesha kumi,20 mama zao wapo vizur sana tinasaidianaHili ndio la msingi maana mbegu tunazo kila mpangilio wake lazima tuuangalie
hapana kabsa mkuuuna uhusiano na HR666
Minilijua anaongea na simu.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Unatuchosha aisee tafuta bas la msing kuongea sawa mkuu, Kama umaarufu sio kwa style hyo.