Tech Max JF-Expert Member Joined Mar 21, 2025 Posts 363 Reaction score 335 Apr 15, 2025 #1 Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,334 Reaction score 5,031 Apr 15, 2025 #2 I'm so sad kukwambia kuwa nchi yetu haina uhaba wa mawazo ya biashara ila ina uhaba wa mitaji,rasilimali fedha malawi tunaita ndarama.
I'm so sad kukwambia kuwa nchi yetu haina uhaba wa mawazo ya biashara ila ina uhaba wa mitaji,rasilimali fedha malawi tunaita ndarama.
MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,443 Reaction score 2,564 Apr 15, 2025 #3 Ukiwa huna hela mawazo ya biashara huwa ni mengi sana😂😂