Nina wazo la biashara

haswaaaaa, pia tuna makazi kule maeneo ya kibaoni bomani palee.
Nina mpango wa kurudi tena, ule mji nimetokea kuuelewa sana

Yes..hata mie napapenda...ingawa sio mwenyeji kivile...!pana kautulivu fulan..alafu kule kuna watu wanamake pesa jaman..najioneaga taaabu
 
Yes..hata mie napapenda...ingawa sio mwenyeji kivile...!pana kautulivu fulan..alafu kule kuna watu wanamake pesa jaman..najioneaga taaabu
Acheni umbea.
Toeni mawazo yatakayo wasaidia wenzenu. Au peaneni namba mkafanye umbea nje ya jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…