Nina wazo la kipindi cha televisheni, ni hatua gani za kufata ili lifanikiwe

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Wakuu,
Nimepata wazo la kipindi cha televisheni ambalo likifanyiwa kazi kinaweza kuwa ni kipindi kizuri sana sssa najiuloza ni mambo gani ya kufuata ili niweze kufanikisha ama kwa kuuza idea au mimi kukisimamia. Nauliza kwa sababu kuna wakati niliwahi kupeleka idea ya kipindi cha redio katika redio fulani kubwa hapa tz nikaonana na mtangazaji tukakukayajenga baadaye akawa hapatikani na nikaja kukuta ile idea wameshaifanyia kazi na kipindi kinaruka hewani hadi leo.

Wazo lolote.
 
Tuonane pm tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na idea ya kipindi ni vizuri kuonana na taasisi zinazoshughulika na haki miliki. Hii itakusaidia pindi mambo yakienda wrong uweze kulipwa fidia. Hiyo idea yako ya kwanza ulikosea sana sbb matapeli wapo kila sehemu na usije jidanganya ukionana na mkurugenzi basi atalinda masilahi yako hiyo sahau. Utakapoenda kwny media yyte watataka wasikilize idea ya kipindi chako (Hii ni lazima). Sasa akishasikiliza akajua ni nzuri basi watakuambia tutakupigia na hiyo ndiyo imetoka hivyo na mwisho wa siku utakiona kipindi kinarushwa na hauna HATI MILIKI utaenda kuwashitaki wapi? Ila kama una hati miliki chap tu unalipwa. HEBU KITAJE HICHO KIPINDI MR.
KABLA YA YOTE TAFUTA HAKI MILIKI YA KAZI YAKO TOFAUTI NA HAPO UTAENDELEA KUTAPELEWA AU UKAPEWA MALIPO KIDOGO SANA. KUMBUKA DUNIA YA SASA WAOVU NI WENGI SANA KULIKO WEMA.
Don't trust anybody
 
Nimekupata mkuu, nilitaka kufanya hivyo ila ratiba zikaingiliana nikaamua kwenda kuonana ya huyo msista. Sema kukitaja kipindi hapana, na ma verified id haya tusije tukajichimbia makaburi mbeleni huko maana inawezekana kwa namna moja ama nyingine nikapita hapo tena.
 
Ni pm mr maana mambo ya dhuluma huwa siyapendi kbsa. Wakurugenzi na watangazi kila siku wanaumiza kichwa kuboresha kipindi na kuanzisha kipindi kipya ili kuteka soko la ushindani. Ukumbuke huenda kuna zawadi au kupandishwa mshahara kwa mtangazaji atakaye leta wazo zuri la kuanzisha au kuboresha kipindi. Mbali na hapo kuna ile kujiaminisha kwa kampuni kuwa ww ni mchapakazi na mbunifu kwahiyo km ukimpata mtangazaji jamii ya watu ya Nabii TITO lazima akulize.
BORA UFE NA IDEA ZAKO KULIKO KUWAPA WATU HALAFU WAKAACHA KUKUPA CHOCHOTE AU WAKASHINDWA KUTHAMINI MCHANGO WAKO.
 
Back
Top Bottom