Nina wazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

Uwe na kitu cha ziada cha kuwashinda hawa waliopo,

Tuanze na ndani kwanza, jipime kwa Jamiiforums, ni kipi cha ziada utakifanya?

Kabla haujaenda kwa akina instagram na alike
 
Ninawazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo

Wazo lako ni broad au unalenga niche fulani? Kwa sasa competition ni kubwa sana inabidi uwe na ushawishi mkubwa sana kwa watumiaji ili watumie na yako pia.

Lakini kama unaweza ku-refine wazo lako ukalenga niche au region fulani, unaweza kupata watumiaji wa kutosha.

Mfano, binafsi nime publish app mbili tofauti kwenye Google play recently. Ya kwanza inaitwa "KuKi." Hii app ni kwa ajili ya kusaidia kutafsiri maneno ya Kingereza ambayo hayana tafsiri rasmi katika lugha yetu ya Kiswahili. Pia itasaidia kuwa na sehemu moja ambayo itasadia watu wengi ndani na nje ya nchi kushiriki kwani sasa hivi kiswahili kinajulikana na kutumika katika nchi nyingi duniani. Kwa mfano, translation ya "Lactose" ni nini? (Huo ni mfano, binafsi sijui tafsiri yake. Naamini tuko wengi)

Application ya pili inaitwa "HangOut." Hii application ni ya event management kama birthday, house party, graduation, kitchen party and so forth. The idea behind ni kwamba, mtumiajia anaweza kupost na kualika rafiki na family member walioko kwenye contacts zake na kama nao wana hii application. Mtumiaji ambae hayuko kwenye contacts zako au yupo lakini hajaalikwa hawezi kuona events ulizopost.

Kwa ufupi inategemea wazo lako unaliweka vipi. Je wazo lako linaweza kuwashinda walioko sokoni tayari? Jibu langu ni hakuna kinachoshindikana.

Kila la heri.
 
ni kweli soko hili lina wahudumu wengi lakini sio sababu ya kukata tamaa mfano kwenye sekta ya habari ushindani ulivyo mkubwa ki makampuni sikufikiri kama crown angeleta ushindani kikubwa ni imani na kile ninacho kifanya.
pili nakupongeza kwa hiki unacho kifanya ni mawazo mazuri kwa hakika unabidi uongeze energy ya kuitangaza kuki inaonekana ina kila sababu ya kupendwa.
nimechagua social site kwa sababu ndio kitu kinapendwa zaidi pia iwe na features rahisi hii itasaidia kumvutia mrumiaji tena iwe na feature ambayo mitandao mingine haina hii itasaidia naamini kila kitu kinaanza kinaanza chini
 
Ninawazo la kuanzisha social site lakini nakosa washirika wa ku push hili kwa pamoja na kufikia malengo
Inahusiana na nn? Usi copy na ku paste idea ya current social media networks.
 
ni kweli soko hili lina wahudumu wengi lakini sio sababu ya kukata tamaa mfano kwenye sekta ya habari ushindani ulivyo mkubwa ki makampuni sikufikiri kama crown angeleta ushindani kikubwa ni imani na kile ninacho kifanya.
pili nakupongeza kwa hiki unacho kifanya ni mawazo mazuri kwa hakika unabidi uongeze energy ya kuitangaza kuki inaonekana ina kila sababu ya kupendwa.
nimechagua social site kwa sababu ndio kitu kinapendwa zaidi pia iwe na features rahisi hii itasaidia kumvutia mrumiaji tena iwe na feature ambayo mitandao mingine haina hii itasaidia naamini kila kitu kinaanza kinaanza chini

Marketing is always a challenge especially if you don't have a budget for it. Kwa sasa I am hoping organic growth by the word of mouth and ASO.
 
Back
Top Bottom