Narudi kupiga winga Kariakoo, naona kupiga winga is better than kuwa hapa.
Baaaria nimekusoma kwa sauti kubwa sana na nimekuelewa … ajira waweza kulipwa 2million Tshs kwa mwezi , ila winga anaweza kubutu hadi 1million na zaidi kwa wiki [emoji23][emoji23][emoji23], sasa bora uwe mwajuma au mwantumu kwenye kazi za kuajiriwa au bora uwe boss Winga una set mipango kokote ulipo pesa zina ingia tu.
Oyaaa huyu Mwamba ajenge sanamu POSTA! Staki maswali[emoji23]
Niunganishe kwenye goli lako kaka.. nakupa asilimia 60 ya faida. Mimi nachukua asilimia 40. Na kuna msingi wangu ntaongezea
Hamna mkuu
Njoo ulambe pumzi ya moto kitaaniMazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.
Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.
Mnanishaurije?
if this, achana nayo boss!
Sema Mlele pa kibabe sana haloo..Exactly ni bush hatari kuna sehem hurusiwi kwenda na pikipiki mpaka gari hiyo sehem ina nyoka hatari nafikir ni hifadhi ya nyoka [emoji3][emoji2]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Winga kazi yake nini? hebu nifafanuliePale kariakoo na posta kuna mawinga kwawao kupata 300,000Tshs mpaka 500,000Tshs na zaidi kwa siku nikawaida . Na nimewashuhudia na macho yangu , sasa watu kama hawa hivo vijikazi vya umama kuajiriwa unaweza waambia nini wakakuelewa . Tena achana na mawinga wa nyumba ndio hatari wanapiga mitonyo ya vishindo kweli kweli
Ungeeleza kwanini mazingira hayakuvutii ili tuweze kukushauriMazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.
Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.
Mnanishaurije?
"Ila kama mjanja hela ipo" nimenukuu tu350k na 850k? Per month...umelogwa wewe
Anyway kuajiriwa unakoaa uhuru, ila kama mjanja hela ipo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nilikaa wiki mbili huko. Kupo chaka kinoma. Ukisogea mpimbwe ndiyo noma.Exactly ni bush hatari kuna sehem hurusiwi kwenda na pikipiki mpaka gari hiyo sehem ina nyoka hatari nafikir ni hifadhi ya nyoka [emoji3][emoji2]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1] madalali bana,mna maneno.Pale kariakoo na posta kuna mawinga kwawao kupata 300,000Tshs mpaka 500,000Tshs na zaidi kwa siku nikawaida . Na nimewashuhudia na macho yangu , sasa watu kama hawa hivo vijikazi vya umama kuajiriwa unaweza waambia nini wakakuelewa . Tena achana na mawinga wa nyumba ndio hatari wanapiga mitonyo ya vishindo kweli kweli
huu mtindo huwa naufanyaga mimiLala siku tatu nyumbani, jambo limeisha!
niliacha kazi, hivi sasa inaelekea miaka 7 sijapata tena kazi, huwa najutia sana.Acha kazi upate kazi kupata kzi