Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niunganishe hiyo kazi nakuja hata kesho mkuu. Wewe rudi Dar.Katavi huku,sehemu inaitwa inyonga
Kama uliwahi kuwa winga kazi za kusimamiwa itakua ngumu kufanya.Narudi kupiga winga kariakoo,naona kupiga winga is better than kuwa hapa.
Kama sababu ni hizi basi ni sababu za hovyo mno. Hovyo!Kula tu per day ni 10k, usafiri mpaka ofisi ilipo kwenda na kurudi 3k.bado sijapata ghetto hivyo naishi Lodge,per day ni 12k.
Kupigwa kipapai kunakuaje mkuu?Tayari ushapigwa kipapai ofisini hapo [emoji1787][emoji1787]
Daaah huko ni kijijini kwetu huko hata sijawahi kufika...🤣🤣🤣🤣 ila nilishawahi kaaga chaka moj lipo Kigoma aisee siku unaenda likizo Dar unaona kama..unaenda mbinguni nilikaaga miaka 2...vumilia tu mzeeeKatavi huku,sehemu inaitwa inyonga
Hapo ndipo "Kupanga ni kuchagua".... inapotamalakiHapa mshahara ni 850k take home,ila matumizi ni makubwa sana naona.
Inyonga apo town kbs buddha ungekua ibindi mguu wa tembo uko vp? Komaa ww mtt wa kiume usiache kazi au mpanda fursa nyingi sanaKatavi huku,sehemu inaitwa inyonga
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia.
Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable).
So naona siwezi kuendelea nao mbele.
Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.
Mnanishaurije?
Kama ni kazi unarogwa na mfanyakazi au wafanyakazi wenzako uikimbie kabisa uiache bila sababu ya msingi wao wanaleta watu waoKupigwa kipapai kunakuaje mkuu?
Dah unanikumbusha mbali mzee kipindi hicho tulikuwa tunapiga winga k/Koo si haba tulikuwa tunapiga ela sana kwa siku ukosi lakiNarudi kupiga winga kariakoo,naona kupiga winga is better than kuwa hapa.
Sasa kwa akili hizo ataweza kazi za kukaa camp porini kuudumia wazungu wanaokuja kuwinda kwa miezi 6 bila kurudi nyumbani?Kisaikolojia ni kwamba mtoa mada hataki kuacha kazi bali akili yake ipo kwenye vita ya kukubaliana na uhalisia na mabadiliko ya makazi.......ni jambo la muda mfupi lakini lenye msukumo mkubwa sana kwenye nafsi......nafsi yako inamwambia yeye hastahili kuwa hapo na kifikra hayupo hapo ndio maana muda mwingi anaongea na simu na watu wa Dar......Ni Hali ya kawaida kisaikolojia na huwa inakwenda inaisha taratibu baada ya kuyazoea mazingira......