Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

Kula tu per day ni 10k, usafiri mpaka ofisi ilipo kwenda na kurudi 3k.bado sijapata ghetto hivyo naishi Lodge,per day ni 12k.
Wewe nikikuita ni mjinga nitakuwa nakosea kweli?
Kuishi lodge kwa mwezi hiyo pesa ungekuwa umepanga chumba ni kiasi gani ungeokoa?
chakula ukijiwekea ndani kama mahitaji ya mwezi mzima ungetumia kiasi gani?
Vijana wa siku hizi mbona kichwani watupu namna hii??
 
Nyumba ndio changamoto,ni mazingira ya Bush kiaina
 
Nyumba ndio changamoto,ni mazingira ya Bush kiaina
Kama ni mazingira ya bush basi huko ndio nafuu sana kwa uzoefu wangu mimi wa kutembelea hii nchi yetu.

Hapo ongea na mwenye guest umlipe kwa mwezi na atakufanyia nafuu sana hilo linawezekana kabisa vinginevyo ni wewe umezoea mambo ya mjini huko unayakosa ndio unaona hapakufai, ila kwa mshahara huo na mazingira hayo na wewe ni msela unanafasi nzuri sana ya kujipanga kimaisha kwa sasa.
 
Aixee, tembea jamiiforums ujionee mengi amini nakwambia 850 utaikumbuka sana, kazi ya mtu unapush some papers on desk, unataka kuiacha, hapo nikuserve expenses ili kwa mwezi ache angalau laki tano ikizidi Yaani fanya kazi tafuta mtaji wa kutosha Zen sepa
 
Back
Top Bottom