Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

Mleta mada anaumwa ugonjwa wa dar sickness amepamiss dar na heka heka zake!

Ushauri wangu kaa huko bush kwa miaka hta mitatu u make huo mshahara angalau ufike hta million 15 ukirudi dar utafanya mtaji

Dar ukiwa na mtaji ni unatoboa kiulaini.
 
Aixee,tembea jamiiforum ujionee mengi amin nakwambia 850 utaikumbuka sana,kazi ya mtu unapush some papers on desk,unataka kuiacha,hapo nikuserve expenses ili kwa mwezi ache angalau laki tano ikizidi Yani fanya kazi tafuta mtaji wa kutosha Zen sepa
Kuna mkoa nilitembelea kwenye hotel niliyofikia ndio hotel kubwa hapo mkoani, yule kijana anayefanya kazi reception akitoka kazini jioni ni bodaboda amenunuwa pikipiki yake, hata mimi siku nacheck out alinibeba yeye saa 10 alfàjiri kunipeleka stand ya mkoa.

Kuna vijana humu wanaleta mzaha kwenye maisha.
 
Hii thread ifungwe, kijana ana masihara na maisha hadi kwenda huko kufanya kazi kwa nini alikubali. Alijua anashida ndio maana akakubali kufika huko hataki tena kazi.

Acha lawama fanya kazi, jifunze kukubali ukweli
 
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia.

Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable).

So naona siwezi kuendelea nao mbele.

Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.

Mnanishaurije?
Vumilia rafiki angu
 
Mleta mada anaumwa ugonjwa wa dar sickness amepamiss dar na heka heka zake!

Ushauri wangu kaa huko bush kwa miaka hta mitatu u make huo mshahara angalau ufike hta million 15 ukirudi dar utafanya mtaji

Dar ukiwa na mtaji ni unatoboa kiulaini.
Hata mimi ndicho ninachokiona
Hapo dar mtu usiposhtuka mapema ukakimbia,nakuambia huwezi kutoboa.hapo dar kwa sisi wanaume labda tunafaidi kula mademu wa burebure tu wenye misambwanda,otherwise huku mikoani ni kuzuri na kuna fursa sana.
 
Back
Top Bottom