Nina wivu na mchepuko

Wewe na huyo bidada mna mipango yoyote? Kama ni kutafunana tu muache awe na jamaa mwingne na kama ni muislamu oa awe bi mdogo mana kumuacha huwezi.

Hii kesi kama ya DeepPond yaan mule mule [emoji23]
Aaaah wapi,
Mi hatuendani KABISA.

Kwanza,mi kwa wife Sina hasira Wala nn.
Kingine, mi Mchepuko Wangu Sina wivu huo alokua nao jamaa.

Mimi sekeseke langu Ni pale anapotaka kuniacha Moja kwa Moja, hapo Lazima kieleweke

Ila Iyo kesi ya anaenda kugongwa anakuaga, hiyo dharau hata mamaJ wangu Hawez thubutu kunambia.

Otherwise,
Mwanamke wake anajiamini jamaa hamuudumii kwa chochote kile[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo huenda anajiuza,
Weekend anakua busy Sana hapa na pale kutafuta mahitaji yake.

Kama unabisha muwekee Watu wamfatilie ratiba yake nzima friday-monday utaleta mrejesho[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu haina haja
Kugombea ndizi wakati mgomba hukuotesha wwe
Play ur part
 
Uko sahii KABISA,
Tatizo jamaa kauruhusu Moyo wake kumpenda Mchepuko

Hivi angekua Mimi anaskia KABISA bodaboda anampapasa SI angepita na mlango?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwnyw nmeliona Hilo,

Mwanamke unayemgharamikia Lazima aone aibu na hofu kukucheat na hata akikucheat Hawez kakuambia na atajitahidi Sana usijue[emoji4].



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Cha muhimu ukumbukage KONDOMU tu.
 
Inamaana haumtimizii eeeh??

Inakuwaje unamruhusu akaliwe nje nawe upo??

Kashakudharau yaani,inakuwaje mwanaume unajua kabisa demu yako inaliwa na masela huko nje!!!!

All the aii una moyo wa chuma
Uyu atakua hamhudumii,
Hii ya kwenda kuliwa nje na akamtaarifu Ni ishara ya kwamba Hana chakupoteza kwake.

Jamaa Aanze kumhudumia ili awe na control nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio uwafundishe sasa, ile michepuko yako unaihandle vipi.
1. Sina tabia ya kupenda Mchepuko,
Kwa Mchepuko nafata good sex TU na Hamna lolote. Mapenz yangu yote yako kwa wife. Na ukitaka unitibue Basi mguse wife wangu. Nakukata kidevu.

2. Nawajibika kwa Mchepuko Wangu 100% kumhudumia kila Kitu Kias namdhibiti na vishawishi vya wananyatiaji na dharau za hapa na pale.

3. Siwez hamishia hasira za Mchepuko wangu kwa wife wangu, mambo yangu na Michepuko yangu yanaishia Uko Uko. Nikifika nyumban nakua mpya KABISA.

Mengine ntaongezea taratibu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama DeepPond hajapita Happ huu Uzi ninbatilli

Nashanga jamaa wanmtukana sna mnyakiyusa wetu ila kwa deeppond hawezi. Kumtukana wanampa mbinu snaa
Bwana mwakipesile umekozea wapi
Mtoa mada anaonekana Ni mtu wa kupanik,

Wamemgeuza toy wao, wanataka wamkere kusudi ili akakitulize kwa mkewe[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwenyewe ulisema wakianza kudo utaenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo huyu mchepuko wangu ni dhahiri anazingua sio!!

You see alot of people apa wananiona mimi fala lakini trust me wengi wetu hapaa ambao tuna wake zetu hata ikatokea ukiwa na mchepuko hautotaka huyo mchepuko awe na anatiwa na masela wengine
dah!Sasa ukitaka awe nawewe tu yeye ataolewa lini? Kilichofanya udate kwake ni kwamba alijitoa kwako at the super standard akijua baadae utakua mume wake.Sasa kashajua unamke na watoto,na pengine keshakuchekecha akilini kakuona hauna mtazamo wa kumuoa,imebidi ajiongeze ili nae aje apate mume na familia yake.Kubali ukatae unadate na mchepuko anaekuzidi akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…