Nina wivu na mchepuko

We mwenyewe ulisema wakianza kudo utaenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na kwenda sio kwasababu nna Nia ya dhati ya kufumania kwann alifaywa,

Bali Ni kukusanya real evidence kua aliingizwa dudu siku ile li niitume kama silaha kumnyanyasa kisaikolojia pale atakapoleta story za mimba[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah afadhali aisee nimepata mtu wa kunitetea maana huku wote wananiona mimi fala boya.

Sema sasa huyu mchepuko wangu ninachompendea mainly sio sex wala, she cheers me up when am down. Ana story kinoma na ananifanya nisahau stress zangu kitu ambacho kwa mke wangu sikipati…..nikiwa nae hata kama sina pesa ataniambia lets go somewhere tukae tupige story bila hata kula, sometimes mazingira kama hayaruhusu ananiambia hata tukae kwenye gari tupige nae story tu siku inaisha namrudisha kwao.

Hapa ninavyoongea sina kazi rasmi inayoniingizia kipato mwaka wa nne huu, na huyu mchepuko wangu has been there ups and downs….na kiukweli sio kwamba eti huwa nampa pesa au namuhonga in any way, kitu ambacho naweza count kuwa anakipata kutoka kwangu ni misosi tu tena ya kawaida sana ambayo ikifika muda wa kula nakula pamoja nae.
 
Uyo Mchepuko Ni mstaarabu sana na anajua Wewe Ni potential, Kuna kesho Unaweza kua mtu tofauti.

Kwaiyo anajitunzia akiba ya wema wake kwako, Nakushauri endelea nae Kama hakuathiri.

Ila nnachoomba,
Kua muwaz kwake kua Moja mbili tatu Sijiskii vizur.

Kama kweli hajiskii vizur unavokua down, mweleze kua hujiskii vizur anapojuaga anaenda kugongwa.

Unampenda sana ndo maana unamuweka wazi, naamini Ni mwelewa atakuelewa TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1][emoji1] khaa muache mkeo mfanye mchepuko awe mke halali Sasa. Ukishindwa muache atafute mtu wa malengo naye acha kumfubaza, wanaume mlooa huwa mna nini lkn [emoji1787][emoji1787]
 
Sawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
Tuliza jazba mkuu ushakula limbwata
 
Daaah. Hili nalo linahitaji ushauri?
 
Kuna sehemu nikiwa natembea nakutana na ARV zimedondoka manae watu wanameza hadi njian aakiwa wanatembea manake ukimwi ni mwingi kuliko tunavyodhani. Kuna uwezekano mkeo ukamletea magonjwa kama Ukimwi au homa ya ini kwa kuendekeza ngono zembe.

We ni mwanaume fanya maamuzi ya kiume usijifanye kama wewe ndio una mboo yenye amri katika famili
 
Ume fall in love kwa mchepuko. Magonjwa ni mengi, achana nae. Kama anakwambia straight hivyo, ( na yeye awe na mabwana) hakupendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…