Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Kila mtu Ana wivu either wa kimaendeo ,kazi ,kuzidiwa uchumi ,na mapenzi wivu Ni uchawi , [emoji817]
mimi nina wivu wa kimapenzi. Siku moja nikamuona mpenzi wangu akisalimiana na jamaa wa kazini kwao kwa kukumbatiana tena kumbatio la kujiachia mzima mzima, aisee nilihisi kama nataka kubast hivi, nikataka kuongea sauti haitoki, miguu ilianza kutetemeka ikabidi nijifanye kama napokea simu ili nisione tukio lingine maana ningezima!
 
Back
Top Bottom