sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Ndugu zangu sijajua tatizo ni nini ila nina zaidi ya wiki tatu hapa sina hamu ya kufanya mapenzi.
Ila kuna wiki mojawapo katika hizo tatu nilikuwa natumia dawa za typhoid.
Wiki imeisha tangu nimezimaliza ila hamu ya kugegeda haipo hata kwa mbali.
Naweza kumwona daktari?
Ila kuna wiki mojawapo katika hizo tatu nilikuwa natumia dawa za typhoid.
Wiki imeisha tangu nimezimaliza ila hamu ya kugegeda haipo hata kwa mbali.
Naweza kumwona daktari?