Nina zaidi ya Wiki tatu sina hamu ya kufanya mapenzi

Nina zaidi ya Wiki tatu sina hamu ya kufanya mapenzi

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Ndugu zangu sijajua tatizo ni nini ila nina zaidi ya wiki tatu hapa sina hamu ya kufanya mapenzi.

Ila kuna wiki mojawapo katika hizo tatu nilikuwa natumia dawa za typhoid.

Wiki imeisha tangu nimezimaliza ila hamu ya kugegeda haipo hata kwa mbali.

Naweza kumwona daktari?
 
hamu ya kugegeda inakujaje.? Tuambie.

Ni kama maji , beer. Au?
 
Inaitwa genye kwa jina maarufu, unajisikiasikia kugegeda au kugegedwa.



hamu ya kugegeda inakujaje.? Tuambie.

Ni kama maji , beer. Au?
 
Last edited by a moderator:
jaribu kufanya mazoezi tu!!! na siku jaribu kuomba gemu uone itasimama au itagoma!!!!
 
Jamani kwani kawaida yako unakaa mda gani? Pumzika hata miezi miwili usijitese nafsi yako kwa vitu visivyo vya muhimu....
 
nusa nusa mbunye ya mchuchu wako kama beberu vile afanyavyo, hamu itarudi tu!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi kwi lol!!! hahahahahahah weye mtundu sana aisee lol!!!!

nusa nusa mbunye ya mchuchu wako kama beberu vile afanyavyo, hamu itarudi tu!!!
 
mtu Mungu anakuepusha na kutenda dhambi ila wewew unataka tuuuu uwe mfanya dhambi ooook toa 0713 basi uone kama yako haitaki
 
Una stress? Kula vizuri pumzika vizuri pia.....pole sana
 
Ndugu zangu sijajua tatizo ni nini ila nina zaidi ya wiki tatu hapa sina hamu ya kufanya mapenzi. Ila kuna wiki mojawapo katika hizo tatu nilikuwa natumia dawa za typhoid. Wiki imeisha tangu nimezimaliza ila hamu ya kugegeda haipo hata kwa mbali. Naweza kumwona daktari?

Vp mashine inasimama lakini?
 
Duuuh Yaan Wiki 3 Tu Unalalamika Hivo we kweli Chovyachovya Wenzio Tunapiga Hadi Mwaka Hatujapata Mbunye.
 
Back
Top Bottom