The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa,
Natanguliza ombi la msamaha kwa ndugu zangu humu jamvini kwa njia flan au nyingine nimewaudhi. Sisi wote ni ndugu.
Tarehe 18 keshokutwa stars watakutana na Lesotho kuwania kufuzu Afcon. Kama mzalendo na shabiki mkubwa sana wa mpira natoa ahadi ya dollar 500 kama million moja ya madafu kwa vijana wetu wakiifunga Lesotho.
Isitoshe wakifuzu kwenda kucheza Afcon nitawaongezea 500 nyingine.
Mungu awatangulie na mpeperushe bendera yetu vema.
Hii picha chini ni screen shot ya video Mbwana Samatta "superboy" alipofunga goli la pili dhid ya capeverde uwanja wa taifa na Benchi la ufundi kushangilia kwa shangwe.
Tupeni raha Taifa stars