Nina zawadi nono kwa taifa Stars ikiishinda Lesotho

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa,

Natanguliza ombi la msamaha kwa ndugu zangu humu jamvini kwa njia flan au nyingine nimewaudhi. Sisi wote ni ndugu.

Tarehe 18 keshokutwa stars watakutana na Lesotho kuwania kufuzu Afcon. Kama mzalendo na shabiki mkubwa sana wa mpira natoa ahadi ya dollar 500 kama million moja ya madafu kwa vijana wetu wakiifunga Lesotho.

Isitoshe wakifuzu kwenda kucheza Afcon nitawaongezea 500 nyingine.

Mungu awatangulie na mpeperushe bendera yetu vema.

Hii picha chini ni screen shot ya video Mbwana Samatta "superboy" alipofunga goli la pili dhid ya capeverde uwanja wa taifa na Benchi la ufundi kushangilia kwa shangwe.
Screenshot_2018-11-16-03-04-02.png
Screenshot_2018-11-16-03-04-04.png

Screenshot_2018-11-16-03-04-59.png

Screenshot_2018-11-16-03-06-08.png

Tupeni raha Taifa stars
 
Mzuqa,

Natanguliza ombi la msamaha kwa ndugu zangu humu jamvini kwa njia flan au nyingine nimewaudhi. Sisi wote ni ndugu.

Tarehe 18 keshokutwa stars watakutana na Lesotho kuwania kufuzu Afcon. Kama mzalendo na shabiki mkubwa sana wa mpira natoa ahadi ya dollar 500 kama million moja ya madafu kwa vijana wetu wakiifunga Lesotho.

Isitoshe wakifuzu kwenda kucheza Afcon nitawaongezea 500 nyingine.

Mungu awatangulie na mpeperushe bendera yetu vema.

Hii picha chini ni screen shot ya video Mbwana Samatta "superboy" alipofunga goli la pili dhid ya capeverde uwanja wa taifa na Benchi la ufundi kushangilia kwa shangwe.
View attachment 935830View attachment 935831
View attachment 935832
View attachment 935833

Tupeni raha Taifa stars
Hawana uwezo huo , wala usitake ugonjwa moyo
 
Ubilionea unakunyemelea, unaanza kuwa na mawazo na harufu ya matajiri.

Kila la kheri mwamba. Ila kumbuka usiruhusu kitubkikakutoa kwenye chaki, focus, determination, persistence, persivirance.

Jitahidi usiruhusu kitu kikakutoa kwenye kazi yetu muhimu kabisa, Box.
Hata yule bosi wako mtata, jishushe kwa sasa huku ukijipanga kwa hatua nyingine.

Stars tuwatakie kila la kheri.
 
Sasa hizo dollari 500 au tuseme euros 500 maana unajitanabaisha kuwa upo sweeden utampatia nani maana ukitaka zigawanywe kiusawa kila mtu atapewa mia tano za kitanzania. Huoni unachemka tu! Afadhali mtumie mungu wenu TL huko ubeleji
 
Kama wayapitia huu uzi niwakumbushe. Wakifungwa wazi change hela za Mr Pre indent wetu na kuziludisha. HAMNA KINGINE...
 
Yaliyomkuta TAL yanakuburudisha moyo ehhh. Binaadamu tunafurahia binaadamu wenzetu kuteseka.
Hata wanyama wa pori hawana akili hizo. [emoji107]
Sasa hizo dollari 500 au tuseme euros 500 maana unajitanabaisha kuwa upo sweeden utampatia nani maana ukitaka zigawanywe kiusawa kila mtu atapewa mia tano za kitanzania. Huoni unachemka tu! Afadhali mtumie mungu wenu TL huko ubeleji
 
Sasa hizo dollari 500 au tuseme euros 500 maana unajitanabaisha kuwa upo sweeden utampatia nani maana ukitaka zigawanywe kiusawa kila mtu atapewa mia tano za kitanzania. Huoni unachemka tu! Afadhali mtumie mungu wenu TL huko ubeleji
Wee mkaldayo acha porojo humu kimbia kibaruani ufanye kazi na uridhike na unachopata uboreshe maisha yako
 
Ubilionea unakunyemelea, unaanza kuwa na mawazo na harufu ya matajiri.

Kila la kheri mwamba. Ila kumbuka usiruhusu kitubkikakutoa kwenye chaki, focus, determination, persistence, persivirance.

Jitahidi usiruhusu kitu kikakutoa kwenye kazi yetu muhimu kabisa, Box.
Hata yule bosi wako mtata, jishushe kwa sasa huku ukijipanga kwa hatua nyingine.

Stars tuwatakie kila la kheri.
Ebana mkuu ze monki nasaha zako nzikubali sana
 
Back
Top Bottom