The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Hawana uwezo huo , wala usitake ugonjwa moyoMzuqa,
Natanguliza ombi la msamaha kwa ndugu zangu humu jamvini kwa njia flan au nyingine nimewaudhi. Sisi wote ni ndugu.
Tarehe 18 keshokutwa stars watakutana na Lesotho kuwania kufuzu Afcon. Kama mzalendo na shabiki mkubwa sana wa mpira natoa ahadi ya dollar 500 kama million moja ya madafu kwa vijana wetu wakiifunga Lesotho.
Isitoshe wakifuzu kwenda kucheza Afcon nitawaongezea 500 nyingine.
Mungu awatangulie na mpeperushe bendera yetu vema.
Hii picha chini ni screen shot ya video Mbwana Samatta "superboy" alipofunga goli la pili dhid ya capeverde uwanja wa taifa na Benchi la ufundi kushangilia kwa shangwe.
View attachment 935830View attachment 935831
View attachment 935832
View attachment 935833
Tupeni raha Taifa stars
Tuwaombee tu mkuu yani ni ile nationalism na community spiritHawana uwezo huo , wala usitake ugonjwa moyo
Ndiyo pressure yenyewe [emoji1787][emoji23]Tuwaombee tu mkuu yani ni ile nationalism na community spirit
Sasa hizo dollari 500 au tuseme euros 500 maana unajitanabaisha kuwa upo sweeden utampatia nani maana ukitaka zigawanywe kiusawa kila mtu atapewa mia tano za kitanzania. Huoni unachemka tu! Afadhali mtumie mungu wenu TL huko ubeleji
Huwa nakuona kwa mbali leo umeigia 18Yaliyomkuta TAL yanakuburudisha moyo ehhh. Binaadamu tunafurahia binaadamu wenzetu kuteseka.
Hata wanyama wa pori hawana akili hizo. [emoji107]
$500.00 ni kama Tshs 1,100,000/- tu hela ya madafu, hela ambayo hata #Samagoal77 anaweza kuwapa mara 10 yake. Jipinde Mzee baba utoe japo $5,000.00Tuwaombee tu mkuu yani ni ile nationalism na community spirit
Weeeee thats too much for me bro$500.00 ni kama Tshs 1,100,000/- tu hela ya madafu, hela ambayo hata #Samagoal77 anaweza kuwapa mara 10 yake. Jipinde Mzee baba utoe japo $5,000.00
Ushaamka wewee. Haya kimbia kibaruanHuwa nakuona kwa mbali leo umeigia 18
Wee mkaldayo acha porojo humu kimbia kibaruani ufanye kazi na uridhike na unachopata uboreshe maisha yakoSasa hizo dollari 500 au tuseme euros 500 maana unajitanabaisha kuwa upo sweeden utampatia nani maana ukitaka zigawanywe kiusawa kila mtu atapewa mia tano za kitanzania. Huoni unachemka tu! Afadhali mtumie mungu wenu TL huko ubeleji
Boksi la Copenhagen halilipi ki hivyo eee?Weeeee thats too much for me bro
Ebana mkuu ze monki nasaha zako nzikubali sanaUbilionea unakunyemelea, unaanza kuwa na mawazo na harufu ya matajiri.
Kila la kheri mwamba. Ila kumbuka usiruhusu kitubkikakutoa kwenye chaki, focus, determination, persistence, persivirance.
Jitahidi usiruhusu kitu kikakutoa kwenye kazi yetu muhimu kabisa, Box.
Hata yule bosi wako mtata, jishushe kwa sasa huku ukijipanga kwa hatua nyingine.
Stars tuwatakie kila la kheri.
Linalipa ila utoe 5000 kisenge hivi hivi maamaeBoksi la Copenhagen halilipi ki hivyo eee?
Ha ha ha,Linalipa ila utoe 5000 kisenge hivi hivi maamae